Je, mahali panapoitwa Ngende ni pakusadikika?

Je, mahali panapoitwa Ngende ni pakusadikika?

Aisee sisi wa kusini huko,hiyo sehemu ipo sana wilaya ya liwale huko.

Liwale ni wilaya ya lindi ambayo huwenda ndo ikawa inaongoza kwa uchawi katika mkoa wa lindi,mimi nimetokea wilaya ya nachingwea na nilikuwa nazipata uzuuuuuuuri habari zake.

Ila humu watu wanaongeza chumvi sana yaani,hakuna maajabu kama watu wanayoyasema humu,mengi ni stories tu wala sio hakika,ila ni kweli kina uchawi na watu walipata sana utajiri enzi hizo.

Inasadikika ukipata utajiri unatakiwa upeleke shukurani ,lakini naskia walikuwa wanawasahaulisha makusudi ili wapate sababu tu ya kukypiga BAN ya maisha,na walifanikiwa.

Me nadhani huwenda wanakufanya kiini macho ujione tajiri kumbe fala tu mmoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nimekuwa nikisikia simulizi mabalimbali za kusisimua kuhusu mahali panapoitwa NGENDE(Maeneo ya Kusini)

Simulizi ambazo zimejikita katika mambo ya giza.. Ningependa kujua zaidi je ni kweli sehemu hiyo ipo au ni hadithi za kusadikika?

Je kuna ambao wamewahi kufika? Je mahali hapo kuna makaz ya watu nk kwa yeyote anayefahamu chochote kuhusu mahali hapo basi anaweza kuchangia.

Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hiyo sehemu ipo inapatikana wilaya ya liwale na iko ndanj ya msitu wa selous ukifika karibu na eneo husika lazima ukutane na majaribu ama nyoka wakubwa au simba ukiweza kukabiliana na ofu hiyo umeshinda jaribio la kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifika tu kituo kikuu cha mabasi cha Liwale utawaona watu wanakuja kwenye bus hill na kutangaza " wanaokwenda kwa bibi, pikipiki zipo" ujue wanaongelea Ngende.

Hapo wanamaanisha wale wanaokusudia kuunganisha siku hiyo hiyo kwenda huko.

Mtapita kwenye misitu Fulani (siikumbuki majina ) hadi kwenye msitu mkubwa baada ya hapo ndiyo "kwa bibi Ngende"

Hata hivyo si vizuri uende kwa sababu haiko kama nilivyokuwa ninaisikia kabla ya kufika huko kwa shughuli zangu za kiutafiti.

Nilipaki pikipiki niliyokuwa ninaitumia kwenye duka karibu kabisa na hapo kwa bibi huku nikiwaona watu wamekaa pale nyumbani. Nilimuuliza muuza duka kuhusu aina ya watu wanaokwenda pale ikiwa in kweli wanasaidika kimaisha kama inavyosemwa, akasema ni wachace mno mno ingawa wanaokwenda ni wengi.

Sikuhoji zaidi nikaondoka.
Kwahiyo ukifika Liwale Mjini na ukawauliza wenyeji nataka kufika Ngende utakuwa umefika? au kuna jina jingine zaidi ya hilo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifika tu kituo kikuu cha mabasi cha Liwale utawaona watu wanakuja kwenye bus hill na kutangaza " wanaokwenda kwa bibi, pikipiki zipo" ujue wanaongelea Ngende.

Hapo wanamaanisha wale wanaokusudia kuunganisha siku hiyo hiyo kwenda huko.

Mtapita kwenye misitu Fulani (siikumbuki majina ) hadi kwenye msitu mkubwa baada ya hapo ndiyo "kwa bibi Ngende"

Hata hivyo si vizuri uende kwa sababu haiko kama nilivyokuwa ninaisikia kabla ya kufika huko kwa shughuli zangu za kiutafiti.

Nilipaki pikipiki niliyokuwa ninaitumia kwenye duka karibu kabisa na hapo kwa bibi huku nikiwaona watu wamekaa pale nyumbani. Nilimuuliza muuza duka kuhusu aina ya watu wanaokwenda pale ikiwa in kweli wanasaidika kimaisha kama inavyosemwa, akasema ni wachace mno mno ingawa wanaokwenda ni wengi.

Sikuhoji zaidi nikaondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mwenye hilo eneo ni BIBI au ni jina tu amejipa Bi Ngende ila kuna eneo husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio, hiyo sehemu ipo, na ipo ktk Kijiji kiitwacho Mkwera ktk Mkoa wa Lindi ni mpakani mwa Mtwara na Lindi, kwa wale wanaoifahamu Nyangao basi ukitoka hapo unapta vjj km viwili au kimoja. NA HAYO MAMBO YAPO SANA TANGIA MIAKA MINGI, NA UKIKIUKA MASHARTI USISHANGAE WW MWENYEWENA EITHER FAMILY AKO MKAPOTEZA MAISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
hapana mzee,ngande ipo mkoa wa lindi wilaya ya liwale,mbali sana na mkoani mtwara
 
Ukifika tu kituo kikuu cha mabasi cha Liwale utawaona watu wanakuja kwenye bus hill na kutangaza " wanaokwenda kwa bibi, pikipiki zipo" ujue wanaongelea Ngende.

Hapo wanamaanisha wale wanaokusudia kuunganisha siku hiyo hiyo kwenda huko.

Mtapita kwenye misitu Fulani (siikumbuki majina ) hadi kwenye msitu mkubwa baada ya hapo ndiyo "kwa bibi Ngende"

Hata hivyo si vizuri uende kwa sababu haiko kama nilivyokuwa ninaisikia kabla ya kufika huko kwa shughuli zangu za kiutafiti.

Nilipaki pikipiki niliyokuwa ninaitumia kwenye duka karibu kabisa na hapo kwa bibi huku nikiwaona watu wamekaa pale nyumbani. Nilimuuliza muuza duka kuhusu aina ya watu wanaokwenda pale ikiwa in kweli wanasaidika kimaisha kama inavyosemwa, akasema ni wachace mno mno ingawa wanaokwenda ni wengi.

Sikuhoji zaidi nikaondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu umeeleza vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhh hii sio double ID
Sehemu hiyo ipo kweli inapatikana wilaya ya Liwale nkoa wa Lindi katikati ya msitu wa Selous,moja ya wataalam wahudumu katika kilinge hicho ni ukoo niliozaliwa Mimi so mababu zangu walihudumia Ngende miaka mingi tu,ila kwa sasa kilinge kimepungua nguvu,pale unapewa utajiri kwa sharti la kurudisha shukrani ukijifanya kusahau unatumiwa mnyama yoyote yule anakuja kukudhuru,pale ngende ukienda unapokelewa na nyani na wanyama wengine nao wanazungumza karibia lugha zote duniani

Karibu Ngende kwa Wamagingo au Wangindo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio, hiyo sehemu ipo, na ipo ktk Kijiji kiitwacho Mkwera ktk Mkoa wa Lindi ni mpakani mwa Mtwara na Lindi, kwa wale wanaoifahamu Nyangao basi ukitoka hapo unapta vjj km viwili au kimoja. NA HAYO MAMBO YAPO SANA TANGIA MIAKA MINGI, NA UKIKIUKA MASHARTI USISHANGAE WW MWENYEWENA EITHER FAMILY AKO MKAPOTEZA MAISHA

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaelewa hapo unaposema haja mbalimbali, mi navyojua kuna haja mbili tuu, haja kubwa na haja ndogo. Sasa hizo mbalimbali ni zipi?. Au kujamba nako ni haja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi sana mkuu na kujamba pia ni haja kama unaweza kutoka ulipo ukabana USHUZ1 ili ukajambie NGEDE basi utakuwa umetimiza haja yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngende ni noma aisee, isikieni hivyo hivyo, wanakawaida mteja akienda huko hawakuachi hivihivi, lazima wakuoe na zawadi, na zawadi yao kubwa kwa wanaume ni Busha na wanawake wanakuwa wanajamba hovyo mwezi mzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom