Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,549
- Thread starter
- #21
Mwanamke atazikwa kwao.Duh ulete updates nani kashinda battle hilo
Mwanamke atazikwa kwao.Duh ulete updates nani kashinda battle hilo
Ndoa ya kisasa, ndoa ambazo zinaambatana na sherehr kubwa. Bibi harusi na bwana harusi wanatembezwa mji mzima wakiwa wanapungia watu mikono.Mkuu, "ndoa ya kisasa" ndio ipi hiyo?
Hatari sana....suala la dini ni muhimu sana kuzingatia kwenye mahusiano.mtihani mkubwa ni pale wanandoa ni dini tofauti na kila upande wamekolea kwenye dini husika
Serikali ndio imeamua hivyo??Mwanamke atazikwa kwao.
Hpana mkuu,Serikali ndio imeamua hivyo??
Yanaonekanaga madogo lakini yanakuja kuzua taharuki kuu!
@Smart911 Fanya kwa mahondaw tule ubwabwa ndugu yangu
Ex husband wa marehem alikua hajielewi..Hpana mkuu,
Familia zimekubaliana.
Habari zenu wakuu...
Huku kwetu kuna mgogoro wa kidini na issue yenyewe iko hivi...
Huyu dada alikubali kubadili dini ili apate cheo cha "mrs" . Alikubali kujifunika kichwa. Ndoa yao ilikuwa ya kisasa na watu tulikula na kunywa na kusaza siku hiyo.
Kama mjuavyo ndoa sio harusi, hawa wapendanao walichokana. Sijui sababu iliyowafanya wachokane ila nahisi ni ugumba wa huyu mgalatia. Hivyo walitengana kila mmoja akashika hamsini zake.
Dada wa watu amepumua pumzi yake ya mwisho ghafla hivi karibuni. Na hapo ndo mgogoro umeanza. Mmewe anataka azike kwao kwa taratibu za dini yake. Nduguze na mwanamke hawataki mtoto wao awekwe alazwe mwandani.
Unaambiwa pande zote zimechachamaa....wagalatia na wasaudia wanataka kupigana kisa maiti. Serikali imeingilia kati, tunasubiri uamuzi wa serikali.
Hivi kuna faida gani kugombania mtu mfu?
NB. Usioe wala kuolewa na mtu asie wa dini yako!
ASANTENI
Feedback: Mwanamke atazikwa kwao.
Nakazia ukimwomba Mungu lazima atakupa wa kufanana nawe hawezi kukupa wa tofauti hakuna kitu kigumu kama kubadili dini wallahnakazia hapa USIOLEWE NA USIOE MTU ASIYE WA DINI YAKO KWANI UNABANA RIZIKI KWA WENGINE WANAOLANDANA DINI NA HUYO UNAYEENDA OLEWA AU KUMUOA
nakazia hakuna kitu kibaya ukitengwa na waamini wako wa zamani katika mambo mengine ya kijamii baada ya kuhama diniNakazia ukimwomba Mungu lazima atakupa wa kufanana nawe hawezi kukupa wa tofauti hakuna kitu kigumu kama kubadili dini wallah