Habari ya Asubuhi wana jamvi,
kilimo ndo ajira nilijichagulia sasa nikiwa shambani nalima nimeokota iyo pesa hapo juu wadau nikiwauliza wanasema umasikini ndo nshauaga sasa sielewi naipeleka wapi maana nimekuja mjini na matapeli ni wengi.
Naomba nijulishwe thamani ya iyo pesa ya mkoloni Kwa...
Habari za jioni wanajamvi,
Poleni na majukumu ya kutafuta chumo,
Nisiwachoshe sana natarajia kusafiri kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka kwenda Dubai sehemu nitayofikia inaitwa Jumeira, sasa nilikuwa naomba kwa wenyeji na mnaoifahamu vizuri Dubai mnipe mwongozo wa sehemu nzuri za kwenda...
Leo katika moja ya msg nikiyotumiwa ni kwamba walimu wa kike wamezidisha Maringo kwa kile wanchoeleza nyota zao kali sana zinozoweza kuwapelekea waume zao kuwa na mafanikio especially kwenye post ya URAIS hv ni kweli kuna uhusiano kati ya U FIRST LADY na UALIMU
nawasilisha......
Muda mfupi uliopita Spika wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania alitangaza mshindi wa matokeo ya urais kama ifuatavyo,
Kura zilizopigwa ni 2416,
Dr asha migiro kapata kura 59 sawa na asilimia 2.4%.
Amina Ally kapata kura 253 sawa na asilimia 10.5%.
Dr Magufuri kapata kura 2104 sawa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.