Uhusiano wa ualimu na u first lady tanzania

Uhusiano wa ualimu na u first lady tanzania

FikraNdefu

Member
Joined
Dec 22, 2014
Posts
17
Reaction score
6
Leo katika moja ya msg nikiyotumiwa ni kwamba walimu wa kike wamezidisha Maringo kwa kile wanchoeleza nyota zao kali sana zinozoweza kuwapelekea waume zao kuwa na mafanikio especially kwenye post ya URAIS hv ni kweli kuna uhusiano kati ya U FIRST LADY na UALIMU
nawasilisha......
 
Labda walimu wa primary ni easy 'kuwaonea'
wanasiasa wanapenda watu wa kupokea maagizo na kutoku bisha bisha
walimu wa primary wana fit hapo...na kipato kidogo pia ili kuwa control vizuri
 
Walimu ni binadamu kama ww ufirst lady umetoka wap tena? kwani mke ya dokta slaa ni mwalimu?!!kwani mke ya lema ni mwalimu?!! wap mke ya mbunge ya Mbeya mjini??!! wap Regina LIwasa the first lady to be?!! wap faraja KUOKota??! wap prosifa mapumba?!!
 
tena miaka mia.
watu na nyota zetu atiiii
Ben Saanane jiandae my baby kuukwaa urais.

Hivi UKAWA washaanza kutoa fomu za kugombea urais, nataka nimwambie baby akachukue fomu, nyota inang'aa
 
Last edited by a moderator:
Leo katika moja ya msg nikiyotumiwa ni kwamba walimu wa kike wamezidisha Maringo kwa kile wanchoeleza nyota zao kali sana zinozoweza kuwapelekea waume zao kuwa na mafanikio especially kwenye post ya URAIS hv ni kweli kuna uhusiano kati ya U FIRST LADY na UALIMU
nawasilisha......

fikra fupi
 
Back
Top Bottom