Recent content by Figoo

  1. F

    JamiiForums Tanzania Makonda kufanya mahojianao Clouds kuhusu yanayosemwa juu yake

    NAONA YUKO SAHIHI KWANI HAJAVUNJA KATIBA YA JAMHURI,KWANI NA YY NI MTANZANIA NDO MAANA ANAITWA PAULO MAKONDA MSIMSIMANGE KWA HILI.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mtei: Uongozi wa Rais Magufuli ni kama wa Mwl. Nyerere

    Ndugu zangu amani iwe kwenu! Nimestushwa na baazi ya watz wanaomfananisha mwl Nyerere na Mh. Rais wetu Magufuli hawa watu hawafanani hata kidogo,tuwe wakweli tuache unafiki.Kwa nn nasema haya? Kwanza Mh Mwl hawezi kumlinda kawa uovu wake,lakini Mh.Rais wetu naamini wote waliotufikisha hapa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Tabibu Mwaka akaidi amri ya serikali

    Baada ya kufungiwa amekaidi agizo hilo na anaendelea na utabibu kama kawaida,na hata leo alikuwa na kipindi kilichorushwa na channel 10. Je, mtu huyu yupo juu ya sheria? Yale maagizo hayamuhusu? Mwenye ufahamu anifahamishe maana nimeshangazwa na hili tukio.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Je, Ni sahihi CCM kutumia vyombo vya Serekali kufanya shuguli zake?

    ANGALI UTAZINGIRWA MKUU.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kitendo anachofanya mkuu wa mkoa Kagera Bw. Mongela ni cha kihalifu

    ANGALIA MTAZINGIRWA NA WANA INTELEGENCIA,MM NAPITAA.
  6. F

    JamiiForums Tanzania UKAWA acheni usongombwingo

    UMEONGEA UKWELI MKUU.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Aliebuni wazo la vijana wa BAVICHA kwenda Dodoma Mungu ampe maisha marefu

    According to article 13 "NO ONE IS ABOVE THE LAW,THE LAWS SHOULD BE OBEYED."
  8. F

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa mafuta ya taa wasababisha mauaji ya watoto wanne wa familia moja Kongwa Dodoma

    HILI NI JIPU,MLALAHOI ASAIDIWE NA "HIYO KAZI TU."MM CNA USHABIKI WA VYAMA KM WW KILAZA.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa mafuta ya taa wasababisha mauaji ya watoto wanne wa familia moja Kongwa Dodoma

    Watoto hao walifariki dunia kwa kuungua na kuteketea kabisa baada ya kulipukiwa na kibatari ambacho kilijazwa mafuta ya taa yaliyochanganywa na petroli, wakazi wa eneo hilo wamekaririwa wakisema ni kawaida vibatari kulipuka ila havijawahi kuleta madhara. Hii ni moja ya faida tunayopata...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hakuna msafi ndani ya CCM?

    Ndugu zangu tusisahau tumefikishwa hapa na CCM. Tunalia ufisadi wakati CCM ndo inazalisha mafisadi na kuwakumbatia,tunalia rushwa wakati ni zao la CCM, tunalia rasilimali zetu kuporwa na wazungu wakati mshenga ni CCM. Watanzania tumelogwa na nani? Kila uchafu anaolalamikia rais wetu anasahau...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awapa maofisa wa TAKUKURU ukurugenzi wa wilaya

    HAMNA JIPYA HAPO CCM NI ILE ILE CHAMA CHA MAJAMBAZI.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbunge machachari kutikisa siasa za Tanzania na kumwaga manyanga kabla ya Julai 24

    MMSIPENDE KUJITEKENYA NA KUCHEKA WENYEWE MTOA UZI NI JIZI NA ANAEMSAPOTI MWENDAWAZIMU HUU NI UPUUZI MTUPU.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azidi kupotoshwa na Wasaidizi wake

  14. F

    JamiiForums Tanzania CCM iache kudharau katiba na sheria za nchi

    Ndugu zangu kwa mujibu wa katiba1977 iliotungwa na Ccm hawahawa ktk ibara ya13 inaeleza wazi hakuna alie juu ya sheria, inashangaza leo hii nchi inaendeshwa kwa matamko badala ya katiba. Hofu yangu ni kwamba kesho tutachukiana wenyewe na mwisho majuto atakua mjukuu naona chuki zinaongezeka kati...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la nguo za mitumba Serikali mmekurupuka

    Hata kama tunahitaji kuongeza mapato kupitia kodi, kitendo cha serikali katili ya CCM kuongeza kodi kwa nguo za mitumba bila kuwa na viwanda vya kutengeneza nguo ni jipu. Ikumbukwe 98% ya watanzania tunavaa mitumba ndo kimbilio la masikini na sii wote tunaweza kununua mitumba. Huko vijijini...
Back
Top Bottom