Ndugu zangu tusisahau tumefikishwa hapa na CCM. Tunalia ufisadi wakati CCM ndo inazalisha mafisadi na kuwakumbatia,tunalia rushwa wakati ni zao la CCM, tunalia rasilimali zetu kuporwa na wazungu wakati mshenga ni CCM.
Watanzania tumelogwa na nani? Kila uchafu anaolalamikia rais wetu anasahau kuwa ni zao la CCM! Inauma sana tunakuwa wasahaulifu na kumlaumu muumba wetu. Tubadilike Watanzania!!