Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,440
- 1,962
Tatizo sisi watanzania tunadhani tukipata ujuzi tu basi ndio tunaajirika- Hatuandalii attitude zetu hilo ndilo tatizo kuu Tanzania. na ukitaka niandike kuhus attitude basi ni Thesis kabisa!aje UDSM aone wanyarwanda walivyojazana COET wanaona kama wako Harvard university au oxford wakirudi kwao wanakuwa watu wakubwa tu ,kuna lecturer mmoja alitoka udsm kurudi rwanda akapewa uwaziri jamaa hawana wataalamu kutuzidi hilo halina ubishi tatizo mkuu kabobea kwenye chemistry sina uhakika kama yuko vizuri kwenye civic,history wala geography ,mambo muhimu sana kwa kiongozi wa nchi kuyajua,hayahitaji ushauri,kuna google,kama kuna vitu havijui ajiongeze