Je, Ni sahihi CCM kutumia vyombo vya Serekali kufanya shuguli zake?

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,242
34,903
Hili ni Gari la Serekali kama linavyoonekana hapa.

Tumeaminishwa chama cha siasa na Serekali ni vitu viwili tofauti na baado tumeaminishwa uchaguzi umekwisha, je haya ndio maendelezo ya yale tulioambiwa kuwa mimi niwawote sitaangalia chama? Tukitoa neno tuwe na kumbukumbu pia.

IMG-20160713-WA0019.jpg
 
Hili ni Gari la Serekali kama linavyoonekana hapa.

tumeaminishwa chama cha siasa na Serekali ni vitu viwili tafauti na baado tumeaminishwa uchaguzi umekwisha je haya ndio maendelezo ya yale tulioambiwa kuwa mimi niwawote sitaangalia chama? Tukitoa neno tuwe na kumbukumbu pia
ANGALI UTAZINGIRWA MKUU.
 
Umesahau kuwa Freeman Mbowe aliwahi kulitelekeza gari letu la KUB huko Kenya alikoenda kumsupport Raila Odinga
 
Umesahau kuwa Freeman Mbowe aliwahi kulitelekeza gari letu la KUB huko Kenya alikoenda kumsupport Raila Odinga
Amesahau kuwa Polisi wanatumia vyombo vya serikali kulinda maandamano na migomo ya UKAWA.
 
Umesahau kuwa Freeman Mbowe aliwahi kulitelekeza gari letu la KUB huko Kenya alikoenda kumsupport Raila Odinga
Mbowe naye ni team Odinga, ahsante kwa kutujuza.Siasa bhana mkiwa tofauti Tanzania mkienda Kenya kwa Odinga au Nigeria kwa nabii nyie ni wamoja.Zenji wana la kujifunza hapa
 
Hili ni Gari la Serekali kama linavyoonekana hapa.

tumeaminishwa chama cha siasa na Serekali ni vitu viwili tafauti na baado tumeaminishwa uchaguzi umekwisha je haya ndio maendelezo ya yale tulioambiwa kuwa mimi niwawote sitaangalia chama? Tukitoa neno tuwe na kumbukumbu pia

Safi sana
Mkuki hua ni kwa nguruwe tu. Kama DED wa Tarime katemeshwa kwa sababu za kiitikadi usishangae
 
Usisahau pia kauli mliyotoa kuwa siasa ni mpaka 2020 sasa hapo vipi?
Usisahau pia BAVICHA mana matamko mengi yasiyokuwa na utelezaji NA KULA POSHO ZA CHAMA BURE.....angalia tu viongozi wao...Watoto wadogo wana VITAMBI...AFU KAZI ZAO HATUZITAMBUI
 
Hiyo gali inatumia mafuta ya serikali ,Mali ya serikali lakin inafanya kazi za Chama je kunamatumizi halali ya kodi zetu kweli?
 
Litakuwa la disii hili

kuweka kava ya tairi ya chama chama cha mapinduzi haimaanishi inafanya kazi za chama, unaweza kuweka hata ya company yeyote kama TTCL, CHADEMA TIRE COVER, YANA TIRE COVER NA HII HAIMAANISHI NI KUWA UNAFANYA TTCL AU YANA AU CHADEMA BALI NI UMETUMIA TIRE COVER TO YENYE NEMBO AU YA TAASISI FULANI
 
Back
Top Bottom