Recent content by Fighter23

  1. Fighter23

    Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Kwanini uweke kiasi kingi hivyo cha hela Bank? Huko utapata faida kama ya 1% kila mwezi au 10% kwa mwaka, ambayo naamini kama ukiwekeza hiyo hela kwenye uwekezezaji wowote mzuri unaweza kupata hela zaidi ya hiyo. Nenda hata maeneo mapya ambayo yameshakuwa ya uswahili kutokana na population ya...
  2. Fighter23

    Simba yaachana na Vunja Bei, yasaini mkataba wa Tsh. Bilioni 4

    Ile Podium iliyotu,ika haiendani na hadhi na ukubwa wa Simba na Hotel waliyofanyia hiyo press!!
  3. Fighter23

    Je, ukiwa kwenye uhusiano wa Kimapenzi na Mwanamke ni lazima kumhudumia Kifedha?

    Ndio mwanaume unapaswa kumuhudumia mwanamke wako kifedha, kimali, muda wako, na nafasi yako. 'To love is to give'. Utajiskiaje ukigundua kuna mwanaume mwengine anampa hela mara kwa mara? Mpe kulingana na uwezo wako hata kama hitaji lake hali maana kwako! Muhudumie! Na usifikiri kumuhudumia ni...
  4. Fighter23

    Je, Nifanye Biashara gani?

    Fanya utaratibu fungua ofisi / kampuni ya kutoa huduma za upigaji picha, uchukuaji videos, all printing works, graphic designs, Marketing and Promotion. Unaweza pia ukaungana na vijana wenzio kama wawili kuweza kutoa huduma hizi. Mkipata vifaa vizuri na kazi zenu zikwa nzuri hamkosi kazi za...
  5. Fighter23

    Biashara ya gesti house/ Lodge

    Nyumba ipo maeneo gani? Pitia uzi wa The Boss kuna changamoto na makosa wanayofanya wamiliki wa biashara hii unayotaka kuifanya. Jaribu kurekebisha zile changamoto kisha ikiwa tayari toa kazi kwa wataalam wa kukutangazia biashara yako mitandaoni na kwa wakaazi wa maeneo ilipo. Baada ya hapo...
  6. Fighter23

    Naomba ushauri wa biashara ya kuingiza 50,000 kwa siku

    Hii 50,000 kwa siku una maana ya mauzo kwa ujumla au Faida (Mauzo - Matumizi + Mtaji)??
  7. Fighter23

    Je, Nifanye Biashara gani?

    Umesomea nini? Makazi yako yatakuwa wapi baada ya kumaliza chuo? Unajitegemea au unaishi nyumbani au kwa walezi? What are you good at?
  8. Fighter23

    Vacancy - Food & Beverage Supervisor

    Anahitajika Food & Beverage Supervisor mwenye sifa zifuatazo: Awe Mtanzania mwenye miaka 25 na kuendelea Awe na uzoefu usiopungua miaka 2 kwa nafasi hii Awe na muonekano mzuri na nadhifu Awe amesomea mafunzo ya usimamizi wa Hotel katika chuo chochote kinachotambulika Mode of Application; -...
  9. Fighter23

    Ubinadamu kazi sana ungekuwa wewe ungefanyaje

    Pole, watu hawafanani. Mnunulie sandles za migogo (za mipira ya matairi ya gari) kisha mpe kama zawadi.
  10. Fighter23

    JamiiForums Usiku wa manane

    04:53 Bado tunakesha mapopo
  11. Fighter23

    Vitu gani vya kuzingatia hasa unapofanya biashara ya uuzaj wa mayai ya kisasa?

    - bei unayonunulia - bei unayouzia - soko la hayo mayai yako - sehemu utakayouzia - namna ambavyo utawafikia au wateja watakavyokufikia - namna nzuri ya utunzaji hayo mayai ili yasiharibike au kuvunjika - Nani atasimamia na kuuza Biashara yako - ubunifu na mikakati ya kiushindani utakayokuwa...
  12. Fighter23

    Ninunue kiwanja au nianzishe biashara kwanza

    Tafuta Asset kwanza kabla ya kuwa na Liabilities. Anzisha walau Biashara mbili ndogo zitakazokuingizia kipato chochote cha kila siku kisha simamia vizuri, mengine yatafuata.
  13. Fighter23

    Biashara ya kuuza kuku wa kukaanga

    - kuku wanapatikana kwa wingi masokoni au majumbani kwa wanaofuga. - kuku wanauzwa kuanzia 6,500 hadi 8,000 - kuku mmoja anaweza kukatwa mara nne kwa kuuza ( mapaja mawili na vidali viwili). Ingawapia anaweza kukatwa hadi mara nane. Pia kuna viungo vingine kama shingo, kichwa, miguu, utumbo...
  14. Fighter23

    Elimu kuhusu mgahawa wa kahawa

    Coffee Shop ni Biashara nzuri inayokua kwa kasi maeneo ya miji yenye watu wengi. Wazo zuri, ila kufungua ya coffee Shop ya kisasa kwa mtaji huo wa 2M ni ndogo hasa ukizingatia mahitaji yake ya vifaa na vitendea kazi yana gharama sana, bila kusahau mgahawa wenyewe unatakiwa uwe na eneo kubwa...
  15. Fighter23

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Jaribu kufungua Salon ya kiume yenye nafasi ya viti viwili kisha watafute vijana wanaojua kunyoa kila kiti kimoja hutakosa 5,000 hadi 10,000 kwa siku ukiwa eneo lenye watu wengi.
Back
Top Bottom