Messenger Studio
Member
- Sep 23, 2022
- 24
- 20
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu, nipo Dar es Salaam mitaa ya Magomeni, nmekaribia kumaliza chuo.
Hapa nilipo ninak kiasi cha shilingi Laki sita na nusu na PC. Naomba ushauri nifanye mishe au biashara gani ili maisha yapate kusogea kidogo kuliko kurudi kukaa nyumbani kijijini.
Mimi sina Uzoefu wowote katika mambo ya Biashara.