Vacancy - Food & Beverage Supervisor

Fighter23

Member
Sep 22, 2019
34
125
Anahitajika Food & Beverage Supervisor mwenye sifa zifuatazo:
  • Awe Mtanzania mwenye miaka 25 na kuendelea
  • Awe na uzoefu usiopungua miaka 2 kwa nafasi hii
  • Awe na muonekano mzuri na nadhifu
  • Awe amesomea mafunzo ya usimamizi wa Hotel katika chuo chochote kinachotambulika
Mode of Application;
- Alete CV mwenyewe mkononi na amkabidhi Meneja Mwajiri

Deadline:
- 30th December 2020

Anuani;
- Tabata Bima

Simu:
- Mr. Edwin (Hospitality Consultant)
Mob : +255 715 957 879
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom