Recent content by Fighter

  1. Fighter

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu NSSF, Masha Mshomba hizo ajira 271 ni kaa la moto kwako, chukua tahadhari

    Dau uwezi kumlinganisha na Erio wewe by any standard. Hakuna alichokifanya Erio zaidi kafanya shuguli nyingi kusimama na kusababisha hasara. Ipo siku kuna mtu atarudishwa kujibu.
  2. Fighter

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu NSSF, Masha Mshomba hizo ajira 271 ni kaa la moto kwako, chukua tahadhari

    Wasubiri Audits hawa. Walimchongea Prof. kumbe wenyewe ni mchwa mbaya.
  3. Fighter

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu NSSF, Masha Mshomba hizo ajira 271 ni kaa la moto kwako, chukua tahadhari

    Mi sina shida na ajira mpya kama ni za halali. Ujinga ni wa yule Erio kutoa watu ambao walikuwa wazuri sana na kuweka ma boyoyo. Erio hakutaka challenge yoyote na ndio maana aliamini kufanya kazi na watu wake tu na anawowajua hawawezi kuhoji. Na aliweka watu wenye average ability kwenye...
  4. Fighter

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

    ur too junior JF nafikiri pia kwenye uelewa wa vitu. kama una mapenzi binafsi na Erio hiyo ni wewe . We dig!
  5. Fighter

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

    Soba hasa huyu jamaa ajiamini kabisa. Anafikiri kufanya kazi na watu wake ndio kuficha maovu yake. Soon facts zote zitakua wazi. Huyu jamaaa ni dhaifu mno
  6. Fighter

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

    Too low
  7. Fighter

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

    Erio sio kiongozi anaishi kiujanja ujanja tu. Hajiamini na ndio maana anafikiri kufanya kazi na watu aliokuja nao tu. Na mara nyingi atekelezi maagizo ya viongozi wa juu. Ameacha DEGE vimeibiwa vitu ambavyo basically na mali ya NSSF. Raisi ajamjua huyu mtu ni hatarii. Anaficha mambo yake...
  8. Fighter

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta mpenzi/mume nipo serious

    At ur best Mkuu!
  9. Fighter

    JamiiForums Tanzania Daraja la Kigamboni lina kasoro kubwa kwenye EXITS

    Kidogo nikusahihishe. Kama kulikua na over site basi ni kutoka Kwa Muhandisi Mshauri wakati pre contract na post contract. Mkandarasi ana implement tu.
  10. Fighter

    JamiiForums Tanzania Prof. Makame Mbarawa: Daraja la Kigamboni litaanza kutumika 16/4/16, Utaratibu watolewa

    Hahaaa His name is Eng. Karim Mattaka, kwa hili hata mimi namsubiri. Yeye ndio Project Manager wa mradi kama tulivyoambiwa.
  11. Fighter

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz anunua nyumba mpya

    It should around 70 to 90m.
  12. Fighter

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz anunua nyumba mpya

    Sina wivu lakini hii nyumba mhhh!
  13. Fighter

    JamiiForums Tanzania Kutoka Vijibweni: Rais Magufuli azindua daraja la Kigamboni (Nyerere Bridge)

    Facts alyz stand.
  14. Fighter

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hupenda kusinzia kwenye daladala?

    Wanawake wanakazi nyingi sana. Wakati mwingine hua napata huruma sana.
  15. Fighter

    JamiiForums Tanzania Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

    Two way traffic!
Back
Top Bottom