mtimkav
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 1,034
- 658
Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza nmekua nikiona wanawake wengi especialy hapa Dar wakipanda kwenye huu usafiri wa wengi(daladala) hulala.
Juzi kati nikiwa na rafiki yangu kwenye gari nkamuuliza akasema may be ni mawazo na wakati tukipiga stori nikamuonyesha tu mfano mana kwenye gari tulilopanda almost wanawake wote waliokua wamekaa walikua wamelala but wanaume wote wapo macho.
Nimeona tu niulize labda nitapata majibu hapa.
Nawasilisha.