Mimi sio mzee ni kijana hata 30yrs badoAsante mwalimu. Hili nalo wazo. Ukikaa chini ukawaza zaidi kidogo tu utaona kuwa uzee wako au wangu kwa maisha ya leo unahitaji kuwa na mwenza hata wa kubadilishana mawazo.
Asante. Number zitajiongeza, hata mimi past 17 years I was 30!!!! All the best Young man.
Majibu ya mtu mzima mwenye busara,,safi sana umekua na akili iliyokomaaAsante sana. Wapo na wengine walioshindwa mifupa hivyo tutawezana tu. Kila la heri.
Okay, nilidhani hutoi kabisa msosi.Asante. Mwanamume ninampikia. Kilichofanya nijibu vile ni kuwa post ya mhusika ilisema ' njooni huku kuna msosi'. Hapo nilijibu tu kwa busara ningeweza hata kumtolea maneno ya kumuudhi kabisa. Hope umenielewa
Njoo kwangu basi make nimetimiza 4/5 ya masharti yakoYa kawaida tu kama unajua maana ya maisha. Uzoefu umenifanya kuweka hivyo. Ndiyo maana huoni vitu kama sura, umbo, kabila, elimu n.k kwenye andiko langu.
All the best....
yeah ni huyo niliona siku moja anatafuta mke,mpe nafasi you never know what the future holdsAsante. Huyo mwekezaji wa mambo ya social network usikute ni yule mtoto wa Mh. fulani mstaafu? Mwenye connections na kina Davis Mosha? Kama ni huyo hapana.
Haha ha ha subiri mwaliko walahi ni lazima JF tupate cocktail (mkia wa jogoo -a.k.a mchapalo) au ka dinner kabisa with free entrance. Ni lazima niwashukuru maana viewing ya tread over 5, 000 na replies 300 na ushee na PM zaidi ya 100 si mchezo. Zote bila matusi. Asanteni sana kwa heshima kwa thread yangu.Mpeane namba muwasiliane vizur sio mazungumzo yenu yote tuyajue, humu kuna watu tofauti pia uelewa tunatofautia nyie mkifikia hitisho la kuoana tupen mwaliko, nkitofautiana tupeni feeback