Recent content by Fiery One

  1. F

    Haya mafuta ya kwenye bomba za TAZAMA yanaweza kutumika?

    Tatizo unabishana na watoto tuliekulia kota zote na tunajua vituo vyote vya TAZAMA.
  2. F

    Haya mafuta ya kwenye bomba za TAZAMA yanaweza kutumika?

    Yanatumika vizuri sana, zamani TAZAMA PIPELINES walikuwa wanasafirisha " Crude oil " ila wakafanya ukarabati wa kufunga mitambo mipya na kusafisha bomba, hivyo wakaanza kusafirisha mafuta ya PETROL baada ya Zambia kutaka mafuta yanayoenda yawe yaliyosafishwa tayari kwa matumizi.
  3. F

    Chuo cha SAUT kinara ufaulu Shule ya Sheria

    Wale wenzangu na mimi ambao hatujui hata maana ya " Law School " tupeane ata hi!! kwa mbali tu.
  4. F

    Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

    Haijatoka tu........................
  5. F

    Ushahuri kuhusu mke wangu

    Pole sana kaka, utakuwa unaishi na mtu wa kazi hadi anakudukua na kukufuatilia na boda boda. Kaza usimwachie nafasi ya kukupelekesha namna hiyo, hakikisha unamwambia ukweli wa yote uliyobaini kuhusu yeye ili ajue ukweli na uyo ni mchepukaji ndo mana anakufuatilia. "Mkuki kwa Nguruwe kwa...
  6. F

    CHADEMA njia pekee ya kushika dola 2030, unganisheni nguvu na team Magufuli

    kufa kila mtu anakufa acha kumsemea vibaya, kila binadamu ana mazuri yake na mapungufu yake
  7. F

    Nimepata ajali, niombeeni wana JF

    pole sana Mkuu
  8. F

    Kombe la shirikisho hakuna timu ya kuifunga Vipers

    Angepata wap muda huo? Wakati kakutana na wababe wenyewe
  9. F

    Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

    Kwa kuwa kuna bendera ya Nchi yetu inapepea hapo hakuna shida yoyote
  10. F

    Huyu mke wa mtu weekend hii lazima nimtafune

    Usiongee hayo maneno endelea kumuomba Mungu azidi kukupigania na kuendelea kushinda hayo majaribu. Bado hujakamatika wewe.
  11. F

    Waziri Mkuu Majaliwa anabaniwa publicity na mfumo wa dola (TBC1 hairushi matukio yake mubashara lakini ya Waziri Mbarawa yanarushwa live)

    nadhani ni kutokuwa na uelewa ndo mana, Hapo ni jukumu la Wizara husika mana vyombo vya habari nao wapo kazini kwa hiyo hawafanyi kazi bure na hawarushi kitu live kama hakuna makubaliano yoyote na wao. Inawezekana TBC wasirushe live ila kuna vyombo vingine ambavyo vinarusha live.
  12. F

    Naibu Waziri: Madereva hatarishi wafutiwe leseni za udereva

    Bado kuna udhaifu kwenye usimamizi wa Sheria za Barabarani au inawezekana Sheria zetu hazijitoshelezi, hivyo kuna haja ya kuziboresha na kuzisimamia. Haya matukio yatapungua kwa kiasi kikubwa na hatutapoteza nguvu kazi ya Taifa letu. Kwa kuwa Kama Sheria zetu zitajitosheleza dereva hatafanya...
  13. F

    Mume wangu hapendi ndugu zangu

    mumeo ana chuki binafsi kwa mdogo wako hawezi kufikia hatua ya kufuatilia hadi mashuka ya kulalia. Siku ukipata muda wa kukaa nae akiwa na furaha mwambie kama kiutani kuwa nimeota unatembea na mdogo wangu ili ajue kuna kitu unahisi kwake. Pia, wala usimrudishe dogo kaa na mumeo mweleze ukweli...
  14. F

    Najuta kutupa pesa yangu VETA

    Aliekuambia VETA wanakupa uzoefu ni nani? wale wanakupa ujuzi ili ukienda mtaani ukautumia vizuri upate mafanikio. Hivyo uzoefu unapatikana mtaani, na hiyo elimu uliyoipata kuna siku utawashukuru.
Back
Top Bottom