Recent content by Fideman

  1. F

    Wanaume tumekwisha

    Kabla hujawa baba ,ulikuwa mtoto then ulithaminika now umekuwa baba mwenye kutoa uthaman kwa hivyo vyote usifadhaike sana au kama VP red utoton au use mwanamke
  2. F

    Clouds TV acheni kuwadhalilisha bibi, mama zetu!

    Mwanzo nilidhan lengo la kipindi ni kuchukua yale mazur na changamoto ambazo bibi zetu wangeweza kuzirithisha kwa kizazi hiki ili kuweza kutunza maadili yetu ya kitanzania, lakini imekua kinyume wanachukua maujinga yao kuwafundisha. sijui wanalengo gani na malezi ya watoto wa leo na wa baadae...
  3. F

    wanafunzi wengine ni vipaji maalum basi tu.

    So kwa lugha nyepesi nae mwl alichagua kitu ambacho hana!! teh teh
  4. F

    Mhe. Pinda apigilia msumari kauli yake: Serikali haitavumilia fujo zozote!

    wakubwa tumeelewa jinsi ulivoomba msamaha kijanja.haya usirudie tena!
  5. F

    Nisaidieni jamani, huyu mke wa namna gani?

    kaka jichunguze hata ww unaweza ukawa na tabia ya ubahili unao kera hata soda unataka upunguziwe. maana inaonyesha anakupinga kunako malipo tu! sas kama hat hg unataka ubagn nae ww.badala yake unategemea nn? punguza mfumo dume usitake we ndo ufanye kila kitu hata kama hela unatoa ww. mambo...
  6. F

    PINDA: Ukiwa mkaidi usilalamike pale kichapo kitakapokufikia

    Inabidi tufike wakat kwa pamoja tukubaliane Pnda alikengeuka kwa kauli hii, laiti tungeonja madhala ya kipigo cha polic tungejua sio wanaopinga amri ya polic tu ndo wanaodhulika, hata wapita njia.mfano yule mkenya alokufa Arusha hakuwa na interest yoyote na chadema hivyo nidhahil...
  7. F

    Joseph Mbilinyi (Sugu) ameachiwa na hizi ndio sababu...

    point #2 imenifurahisha.hapo wakiprove maneno yaliyosemwa yalikuwa ya kipumbavu! hawezi kukwepa kuitwa mpumbavu.
  8. F

    Kwa muktadha huu; matumizi ya 'DVR' kwenye mikutano ya CHADEMA ni danganya toto!!!

    sio lazima ufanye post kama ujafanya research ya post yako. kwa nn jesh litishiwe kwa uwepo wa video ya tukio? wakati wao sio wa husika! mi nilidhan kauli hiyo ingeipa nguvu jesh kujua wap waanzie. mkuu post hii nyepes mno
  9. F

    Mh Rais Kikwete usanii hadi kwenye misiba

    ndiye pekee alokuwa akisubiriwa! ndomana imekuwa rahisi kuonekana. japo haijawekwa bayana alikuwa anawakilisha nafasi ipi ya jk. familia au nafasi ya uraisi!!
  10. F

    Serikali ya Kikwete ni balaa.......

    ni kweli kabisa vitu vingine havihitaj intervation ya rais, ni utashi tu wa wahusika, tusipende kulalamika sana bila kuwajibika
  11. F

    Geita kimenuka: Pinda asusiwa kikao!

    bado kuna haja kuwa makin ktk kuchagua viongoz wenye hekima japo naamini jamii huchagua kiongoz stahik kwa hekima zao. naamin hapa ange chinjwa shehe wangehitaji paka afufuliwe ndo wakae pa1. ningewashaul wakae mezan watoe tofaut na wazuie jambo hili lisijirudie. cku moja inaweza kutokea hata...
  12. F

    Tabia hii ya Ufoo Saro wa ITV ni uandishi wa habari au nini!

    Nafasi aliyokuwa nayo katika jamii na uwakilishi wake unatakiwa uende sambamba na utash na hekima ili aheshimike zaid. sio anafanya kazi nzuri alafu anashindwa kuishi kwa uzur. tunda tamu kwenye mti mchafu alilleti hamu. kama kweli alifanya hivyo aliwakosea sana. ajirekebishe
  13. F

    Oneni upuuzi wa Sugu

    uzi unaonekana dhahili hauna mashiko kamili ya kurubun thinkerz. mlugo a.k.a one nineteen sixty 4 aliwezaje kufika kwa wakat while jamaa wakat huo walikua wanamsubil sugu? japo sugu nae anazingua kutotambua kuwa kauli yake ni kuu kwa jamii. amejib hip hop zaid. inamaana songwe ndo...
  14. F

    UAMSHO wanawatumia waislam kutimiza malengo yao

    Ukisoma kwa harakaharaka 2 unapata jibu ya utofaut wa uwezo wao wa kutathmin na level zao za elim.haitaj nguvu kumfanya mjinga akuheshim. Co vizur kwenda na majib badala ya hoja kwenye mijadara. Big up mngony
Back
Top Bottom