UAMSHO wanawatumia waislam kutimiza malengo yao

Mimi nijuavyo waislam hawahongwi kofia ama pilau
Ila najua kuna wagalatia wanahongwa gongo ulezi chibiku tu na kutoa kura zao kwa wagalatia mafisadi
Ama kuhusu malengo ya Uamsho hili darasa pana
Walianza na harakati nyingi za kijamii lakini sasa kuna hili Zanzibar kuondokana na ukoloni wa Tanganyika
Kwani ukoloni ? Kwa sababu nia ya Muungano haikua nzuri watanganyika walikua na nia ya kuimeza zenj
Wewe fikiria kitu kimoja tu kuna sababu gani za kufanya suala la mafuta kuingizwa kitapeli ndani ya mambo ya muungano?
Na wakati huo zanzibar hawafaidiki na gas ya songo songo ?
Hawafaidiki na madini ya dhahabu
Kwa nin tanganyika wasiwaachie zenji kuchimba mafuta yao ?
Jee inawezekana tuhamishe makao makuu ya serikali ya muungano yawepo zenji?
Mambi ni mengi na kazi ya uamsho ni hii kuwafahamisha waislam kuwa muungano sio
Mila na utamaduni wa nchi hizi ni tofauti
Mfumo wa maisha wa nchi hizi ni tofauti
Tabia za watu wake pia ni tofauti
Marafiki wa tanganyika pia ni tofauti na wale zenj
Hivyo muungano ulikua ni kasa la kulazimishwa kihistoria
UAMSHO WANAAMSHA. Na support yao ni kubwa kuliko unavodhani wapo wabunge police mawaziri majaji wakulima wafanyakazi bila ya kujali itikadi zao wote wanasema Zanzibar kwanza

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

kama suala la kisiasa kwa nini mnasingizia dini? mnasema eti mnatetea uislamu kumbe malengo kisiasa! hadi kuwauwa wazanzibar na waislam wenzenu, kwa hakika kila mtu atakuja kujibu!
 
na kama suala ni ukoloni! mbona kila siku balozi wa marekani anakuleteeni misaada na miradi kibao. serikali ya Mapinduzi ina mikataba kibao na mataifa ya kibeberu, je huo sio ukoloni? tena huo ndo mbaya zaidi! je na huo mnapambana nao? mbna mnawakaribisha kila siku hao makafiri? Mbna hampigi kelele kuhusu utalii ambao wazungu wanakuja kukaa uchi? au kwa sbb wanaleta fedha kwa serikali? je uislam unasemaje?
 
Kama wewe kweli ni Muislam sio kibaraka, kasome Qur'an 66;9. nimefunga mchezo nakusubiri......

"O Prophet, strive against the disbelievers and the hypocrites and be harsh upon them. And their refuge is Hell, and wretched is the destination"

Du mambo ya dini bwana, kazi kwelikweli.
 
na kama suala ni ukoloni! mbona kila siku balozi wa marekani anakuleteeni misaada na miradi kibao. serikali ya Mapinduzi ina mikataba kibao na mataifa ya kibeberu, je huo sio ukoloni? tena huo ndo mbaya zaidi! je na huo mnapambana nao? mbna mnawakaribisha kila siku hao makafiri? Mbna hampigi kelele kuhusu utalii ambao wazungu wanakuja kukaa uchi? au kwa sbb wanaleta fedha kwa serikali? je uislam unasemaje?

ukoloni ni tofauti na na mashirikiano
 
kama suala la kisiasa kwa nini mnasingizia dini? mnasema eti mnatetea uislamu kumbe malengo kisiasa! hadi kuwauwa wazanzibar na waislam wenzenu, kwa hakika kila mtu atakuja kujibu!

tuacheni tupumueee basi..jinchi lote hilo mulinalo hamtosheki ?
 
mimi ni muislamu lakini nimeshtukia hichi kikundi cha UAMSHO kuwa ni kikundi cha kisiasa kinachowatumia waislamu bila wenyewe kujijua! Uamsho wanataka kujitenga na bara wakisingizia huku ni makafiri, je huku hakuna waislamu? Kwa nini wamuue askari ambaye ni Muislamu mwenzao? Katika uislam si haramu kumwaga damu ya muislamu mwenzako? hawa waislamu gani? kwa nini watoe taarifa za kuwa kiongozi wao ametekwa na hali ilikua haijulikani yuko wapi na kama ametekwa au la!? dereva anasema alishuka akapanda gari lingine na alikua akiwasiliana na watu, huko ndo kutekwa tena bila hata purukushani tena gari limekuja taratibu! na hilo gari lake mwanzo alikua akiendesha mwenyewe kwa nini alimua kumpisha dereva wake?Huo si uongo ambao ni haramu katika uislamu! Kwa nini zichomwe ofisi za CCM peke yake, mbona CUF nayo ni serikali pia? je CCM huko zanzibar viongozi wao makafiri? je hao CUF waumini? kama ni hivyo kwa nini unamuacha huyu CUF kwa sbb anaonekana mnafiki anashirikiana na makafiri CCM! Hawa ni wanasiasa wa mda mrefu ambao wamekua wakitaka Zanzibar ijitenge lakini wakashindwa katika hoja za kisiasa,ndo kipindi kile ikabidi rais achaguliwe ambaye sio mhafidhina akawekwa sheina agombee, na Rais kikwete akaahidi kusimimia muungano pamoja na shein hadi ikaundwa kamati ya kushughulikia kero ya muungano! kwa vile walishindwa wameamua kutumia mwamvuli wa dini! ni hatari sana, ni kama kipindi kile CUF ilivokuwa ikijinasibisha na uislam! Na kila mwenye akili atakubali kuwa hichi kikundi Kina mkono mkubwa kutoka mataifa ya nje, taifa fulani ambalo siku hizi limekua mstari wa mbele kusimamia mataifa kujitenga maadam wana maslahi ya kiuchumi pindi tu taifa hilo likishajitenga.

utumbo
 
Asante, Mkuu, kama nimuislam jaribu kufika kwenye mihadhara au sikiliza kasseti zao ili uelewe policy zao badala ya kuleta mada dhidi ya policy za uamsho, madai kama haya tunayasikia kwa vikojozi, kwahiyo ni vizuri uwasikilize mwenyewe uelewe ukweli

Respect

Ukisoma kwa harakaharaka 2 unapata jibu ya utofaut wa uwezo wao wa kutathmin na level zao za elim.haitaj nguvu kumfanya mjinga akuheshim. Co vizur kwenda na majib badala ya hoja kwenye mijadara. Big up mngony
 
tuacheni tupumueee basi..jinchi lote hilo mulinalo hamtosheki ?

kama suala ni NCHI basi muache kutumia mwamvuli wa uislamu! alafu kibaya kufanya mambo ambayo uislamu unakataza kama kufanya vurugu, uharibifu wa mali na hata kudiriki kumuua mwislamu mwenzetu!
 
Back
Top Bottom