Recent content by feyliciouse

  1. feyliciouse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemuacha mpenzi baada ya kushindwa kunizalia

    mmmh!!!!! ananzaje labda kukizalia????? umemuoa??. afu pia bado mwanafunzi, azae ili iweje! nampongeza huyo x wako kwa kujielewa.
  2. feyliciouse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuombwa hela hata kabla ya mapenzi kuanza, maana yake nini?

    hicho ni kipimo km kweli unampenda na uko seriouz kwake na km kweli unamjali shida zake ata km bado hamjaanza rasm mahusiano. pia ni njia ya kukupima km ni mtoaji mbahili, so anataka kujua anaenda kuanzisha mahusiano na mtu wa namna gani, na si kweli kuwa ana shida ya pesa. na mwingine ndo...
  3. feyliciouse

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba/mke mtarajiwa

    wew mbona una mtoto, kwann hutaki mwenye mtoto?
  4. feyliciouse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimbikiri na alinizalia mtoto lakini sitamuoa katu

    .
  5. feyliciouse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu ana michepuko mingi

    hahahahaaa we noumaaa
  6. feyliciouse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majanga, nina damu ya kunguni

    ujue ana hisia za mapenz juu but anashindwa kukwambia . so anaishia kuwa na wivu tu, anasubiria wew umuelewe hisia zake
  7. feyliciouse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alioa bikira, miaka 15 baada ya ndoa ameanza kuchapiwa

    hahahahaaa
  8. feyliciouse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wasichana wakitoka ku'do nao huhadithiana kama wanaume?

    anayeadithia ni utoto na ulimbukeni tu wa mapnz
  9. feyliciouse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimfanyeje asije kuyachukia mapenzi

    kama mnapendana muoe tu
  10. feyliciouse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natishia kutengwa kisa mke wa Sumbawanga

    uchaw upo kila mahali sio kwa sumbawanga tu, na kuwa mzaliwa wa sumbawanga haimaanishi kuwa yeyote tu ni mchawi, hapana kama unapenda kweli sioni sababu kutokuoa. hao rafik zako watakataa but mwisho wa cku watakubali matokeo tu! kama unampenda muoe plz
  11. feyliciouse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuombwa mchango wa harusi na mpenzi mliyeachana

    hahahahaaa
  12. feyliciouse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa mwanamke kupenda wanaume wawili?

    haiwezekana kupenda ila akawa na boyfriend wawili, mmoja atapendwa kiukweli thn mwingine atazugwa
  13. feyliciouse

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba (mwanamke)

    black in beuty no chance
  14. feyliciouse

    JamiiForums Tanzania nikaribishen tafadhali

    nimerud tena
  15. feyliciouse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kumpata mwenza kwenye mitandao ya kijamii ukadumu nae?

    inawezekana sana s
Back
Top Bottom