Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
hahahahhaha...kwani aliolewa bana.....huyu siku ya ndoa siku nzima yuko JFMmmmm,shosti una moyo ......ivi unaachwa na unakuja kutangaza? BIG UP...............
hahahahhaha...kwani aliolewa bana.....huyu siku ya ndoa siku nzima yuko JFMmmmm,shosti una moyo ......ivi unaachwa na unakuja kutangaza? BIG UP...............
Nilichoamua ni kuachana nae kbsa, ndiyo sina haja nae tena , naomba jf wote mfahamu hilo, nipo huru.
Na sina haja ya kuolewa tena.
Nawasilisha.
Sijui kitu mkuu!!!Aisee moniccca anakupeleka, yaani kbs Unaumiza kichwa kumshauri
Kwa hiyo umeachana kwa vile mumeo ana michepuko mingi..Wandugu habrn za kazi.
Niende kwenye mada
Mimi nimeolewa hivi karibuni kama wengi wenu mnavyojua lkn tatizo ni kwamba mume wangu ana michupuko mingi sana.
Wiki mbili zilizopita nilimfuma akiwa na mwanamke kwenye gari nilipouliza akanijibu ni mfanyakazi mwenzie haikuishia hapo , siku mbili baadae nikamkuta bar na rafiki yangu nilipowakuta walishtuka sana lkn sikuwauliza kitu, juz tena nilimkuta akitokea chumbani kwa house girl huku akimalizia kufunga mkanda wa suruali nilipomuuliza hakunijibu kitu,
nikambana house girl akaniambia alikuwa anamtaka akamkatalia lkn yeye akamng'ang'ania mpaka akatishia kumsema kwangu ndipo alipo muacha.
Nikaona niweke mtego kwa kucheza deal na house amkubalie ilinimfumanie, tukafanikiwa kweli nikawakuta ktk kupurukushani za maandalizi ya Kudo,nilichofanya nikuwahi nguo zake na kutoka nazo sebuleni.
Nilichoamua ni kuachana nae kbsa, ndiyo sina haja nae tena , naomba jf wote mfahamu hilo, nipo huru.
Na sina haja ya kuolewa tena.
Nawasilisha.
Hahaha. Moniccca noma sana. Katuchezea genre moja ya muziki, halafu imefika mahali imechuja, kaipiga chini. Ngoja tusikilizie santuri itakayofuata, sijui atakuja vipi.
Naona anatangaza fursa kwa vijana for the name of ukweli utakuweka huru..Na zile dalili za ujauzito ziliishia wapi..au haikuwa mimba na kama ni mimba itakuwaje nawee uko huru sasa...

Kumbe unakumbukumbuIla nachomkubali ni kwamba ameweza kuzipanga episode katika mfuatano unaoeleweka.
Tujikumbushe
1. I need my Mr. Right
2. Nawashukuru wana JF: Siku ya harusi yangu
3. Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?
4. Wedding invitation
5. Leo naolewa
6. Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu
7. https://www.jamiiforums.com/threads/mbegu-za-mume-wangu-zinaniunguza-nifanyeje.1041769/
8. Kuolewa raha!
9. Raha ya tendo husika
10. Najisikia huzuni moyoni mwangu
11. Moniccca anawaaga jamani
12. Naweza kuwa nina mimba?
13. Najuta kuolewa!
14. Mume wangu anamichepuko mingi
ulikuwa una maanisha nini hapaHizo nyege.e zako hizo wewe.........!
Nadhani mwendelezo umefika mwisho. Si ameamua kuachia ngazi?Wewe ni kiboko hapa jamii forum, hivi huu mwendelezo utafika wapi?
Ila nachomkubali ni kwamba ameweza kuzipanga episode katika mfuatano unaoeleweka.
Tujikumbushe
1. I need my Mr. Right
2. Nawashukuru wana JF: Siku ya harusi yangu
3. Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?
4. Wedding invitation
5. Leo naolewa
6. Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu
7. https://www.jamiiforums.com/threads/mbegu-za-mume-wangu-zinaniunguza-nifanyeje.1041769/
8. Kuolewa raha!
9. Raha ya tendo husika
10. Najisikia huzuni moyoni mwangu
11. Moniccca anawaaga jamani
12. Naweza kuwa nina mimba?
13. Najuta kuolewa!
14. Mume wangu anamichepuko mingi