Kuombwa hela hata kabla ya mapenzi kuanza, maana yake nini?

Mimi naamini dushe kwake lazima ni muhimu kuliko hela. Hata eva alivyokuwa anapewa dushe na Adam pale bustani ya Eden kipindi kileeeeeeeee hapakuwa na hela mkuu!!... Hela kitu gani!!!
Endelea tu utaishia kuwaita shemeji na kuja kulialia humu
 
Wapendwa mabibi na mabwana naomba mnisaidie hii kitu kidogo. Unajuana na msichana either uliwahi kukutana nae or mmejuana through someone hamjawahi kuonana mpo mbali kidogo. Kati yenu ndio kwanza kuna dalili za kutaka kuanzisha uhusiano halafu unaanza kuombwa hela kwamba
samahani nina shida fulani naomba nisaidie shilingi kadhaa. Huyo msichana anakua na maana gani?

Nasema hivi maana mi sijui nawaoneaga sana au ni nunda maana nikishaona hizo msg ushetani unaniingiaga hapohapo siwazungukagi nawaambiaga ukweli then communication nao naipoteza kwa sababu huwa naishiwa kabisa hamu na huyo mtu.

Sasa hio ni sawa?
Mapenzi Ulaya,Afrika business opportunity
 
hicho ni kipimo km kweli unampenda na uko seriouz kwake na km kweli unamjali shida zake ata km bado hamjaanza rasm mahusiano.

pia ni njia ya kukupima km ni mtoaji mbahili, so anataka kujua anaenda kuanzisha mahusiano na mtu wa namna gani, na si kweli kuwa ana shida ya pesa.

na mwingine ndo ivo ana kuwa after mny.so inategemeana na alivowaza kichwan kwake.
 
Endelea tu utaishia kuwaita shemeji na kuja kulialia humu
Sasa hivi namvizia vizia yule wa kwako kwani huwa namuona ona huku na pia mambo yangu na yeye kule PM hayaendi vibaya sana, inshallah mungu ni mkubwa tutakuwa sawa soon!
 
Hayupo interested na wewe au ana taka kujua ww ni mwanaume kiasi gani toa akuone bwege forever
 
Duh sometime wanaume punguzeni kulia lia jamani, japo sio wote. Umeshagundua huyu anataka hela na wewe huna hela si uende kwa ambae hataki hela? Hutoi hela kuna sabuni tumia easy.o_Oo_Oo_Oo_O
 
Duh sometime wanaume punguzeni kulia lia jamani, japo sio wote. Umeshagundua huyu anataka hela na wewe huna hela si uende kwa ambae hataki hela? Hutoi hela kuna sabuni tumia easy.o_Oo_Oo_Oo_O
Tatizo hamtoi risiti,biashara mnaipenda ila mnajificha,kuweni wa wazi tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom