Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 951
- 843
nakiri kuwa ananipenda na kweli mm ndie mpenzi wake wa kwanza....lakini pia nampenda sana natamani awe mke wangu.
tatizo liko kwa mama yake ambae kiukweli hataki kabisa kusikia jina langu na mra kwa mara binti huniambia mama yake anasema ndugu yake alitaka kuoa kwetu kipindi cha nyuma babu akakataa kumpa binti yake sasa kwa nn yeye (mchumba wangu)aje kwetu kututengenezea familia
maneno haya yananiogopesha sana lakini nashindwa niganyeje niachane na huyu binti..mwanzoni alikuwa ameamua kumsikiliza mama yake na akaonyesha kuniacha coz kuna nguo za marehemu mama yangu nilikuwa nimempatia alinirudishia lakini naona amerudi upya na mapenzi ndo yamekolea.
sasa najiuliza nitafanyeje nimuache bila kumuumiza na badae akayachukia mapenzi.ukweli ni kwamba kumuoa naogopa ila nakili kuwa tunapendana
au je niamue kumuoa hivyo hivyo liwalo na liwe.. ukizingatia umri wangu nao umeenda sina mda wa kusubir nahitaji mwaka huu kuwa na mke..jamani kuweni serious kunishauri plz.