Recent content by few b

  1. F

    Je, ni kweli wenye damu kundi O huwa hawana risk kubwa ya magonjwa ya maambukizi? Hasa ya magonjwa zinaa?

    mmh, mkuu hizo sifa ulizotaja hapo mm ninazo karibia zote!! Hasa hilo la kupenda wanawake wenye makalio makubwa bila kuangalia sura!! Dah, kumbe kuna uwezekano haya mambo yakawa ni kweli[emoji15]
  2. F

    Kusema Tanzania ijifunze demokrasia toka Kenya ni kutuchafua

    Ama kweli akili ya wana ccm ni 0 kabisa, unasema Tanzania hakuna ukabila kwenye Urais, are you Crazy or something!? Unasahau kua kila siku mnasema #wachaga hawafai kwenda ikulu. Pia unasema Tanzania wapinzani hawajawahi kwenda mahakamani kwa sababu chaguzi zetu zinaenda vizuri hivyo kutokua na...
  3. F

    Wanawake wanene na wenye makalio makubwa ni wazuri kwa kuwatazama tu

    Aisee we jamaa ndio hujui kuwatumia, mbona mm nawakunja vizuri tu!
  4. F

    Serengeti Lite ndio habari ya Mjini

    Serengeti light ni shiidaaa... bia ya watanzania hii
  5. F

    Nairobi, Kenya: Waziri wa Usalama Jenerali Joseph Nkaissery amefariki dunia

    I hate African politics. Bora hata turudi kwenye enzi za Kifalme, Africa is dirt politics wise[emoji31]
  6. F

    Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

    Kwani kazi ya kujenga barabara na kuleta maji ni ya mbunge!? Kama jibu ni ndio basi Rita mlaki alipaswa kuwa alishazijenga hizo barabara na kuleta maji maana yeye alitawala hilo jimbo kwa muda mrefu sn. Ama kweli kusoma sio kuelimika
  7. F

    Ramani ya Nyumba

    Du, jamaa unachekesha kweli! So mtu akitaka kanisa au msikiti au mall afanye hivyo hivyo sio, pia hiyo image yake ya google ataenda kuombea "building permit" sio, na je hiyo image ndio ataenda kusetia nyumba sio!? Kazi kweli. Basi hata wewe ukiumwa nenda google ugoogle ugonjwa unaoumwa kisha...
  8. F

    Mwaka 2019 ipigwe kura ya maoni, Rais Magufuli aruhusiwe akae hadi 2035

    Haina haja ya kupiga kura, tubadilishe katiba tutumie ile ya Warioba alafu tuone km itakubalika marais wote watawale kwa huo muda unaousema wewe sio unakurupuka tu na pumba zako hapa
  9. F

    Mkuu wa Wilaya ya Hai, aamuru shamba la Freeman Mbowe la Mbogamboga liharibiwe, Mbowe alaani!

    Kwamba eti yeye ni wa watanzania wote! Yani hakuna dhambi mbaya kama unafiki na fitina
  10. F

    Hivi vyama vya upinzani wa watasimama 2020 kwa hoja gani dhidi ya Magufuli

    Vitaishtaki CCM kwa wananchi kwa kosa la kuwaibia rasilimali zao kwa miaka yote hiyo baada ya kupata ushahidi kutoka kwa mwenyekiti wa ccm Taifa
  11. F

    Lissu tambua unaishi katika Taifa ambalo wengi wana mitazamo ya aina hii

    Tanzania ni nchi ya vituko sana! tusubiri baade akija Rais mwingine na kwa bahati mbaya akatokea CCM utasikia kaunda kamati ya kuchunguza ununuzi wa Pombadia na Ujenzi wa SGR na watu wakatumbuliwa!!! Watanzania tulilieni katiba mpya ambayo itaweka mfumo wa jinsi ya kuongoza nchi yetu sio kila...
  12. F

    Jeshi la polisi liruhusu maandamano ya amani kumuunga mkono Rais!

    Kwani nani kasema Rais haungwi mkono!? Alafu pia ni Serikali ipi iliyofanya hayo madudu kama sio Serikali ya CCM!? me nadhani tungeanza kwanza kwa kuandamana kudai katika mpya ili Rais Magufuli awe Rais Huru asiye chini ya chama cha siasa baada ya kuiondoa ccm na kuizika milele
  13. F

    Kila mdada ana weakness ya kitu chake

    Kazi kweli, mwanaume mzima unajisifia kula biskuti, sasa ulikua unamlaje huyo dada, sion nguvu ulikua unatoa wapi!! Du!
Back
Top Bottom