Aliishajichangavya mwenyewe... OverMkuu, Chuo Kikuu hakuna General Studies. Kuna Development Studies. Mnapotunga, kumbukeni wasomaji wanafikiri pia.
General study!!! Chuo gani hicho? Au advance? Maana chuo hakuna General study labda kama ulimaanisha Development study. But hongera pia kwa mbinu yako na kufanikiwa. Sasa mbona alikukacha na kuolewa kwa mwingine ooooh sorry kwa vibiscut inaonekana ni mwanaume wa Dar ndio maana alikukacha. Wanaume wa mikoani huwezi kumkuta dume zima na vibiscut!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()






umemkamata kiutamuu😀😀😀Mkuu, Chuo Kikuu hakuna General Studies. Kuna Development Studies. Mnapotunga, kumbukeni wasomaji wanafikiri pia.
Unataka kusema thamani ya uyo mrembo ni biscuits za elf3??!
Kwann hamuaminigi love is priceless rather doesn't cost a thing
Mbona umeipandisha?ni 2800Nani kakwambia 3500 mbn unaipandisha chat!!!!!????
Buku tatu tuuuu...
......akina ngosha wanakwambiaaa
....URUFU TATU TU.....
Mbona umeipandisha?ni 2800
haya bhanaa naona mnazidi kumshusha thamani dada wa watuuu kwa kutoa utamu kwa 2800Mkuu, Chuo Kikuu hakuna General Studies. Kuna Development Studies. Mnapotunga, kumbukeni wasomaji wanafikiri pia.

Kwahiyo ulikuwa unaona umemla bure au?!
Hizo biskuti hazina gharama?!

Naww unazipenda?!
Bila shaka ujajua maana ya neno pricelessKala box ngap?!...kila kitu kina price mambo ya kusema love ni priceless tunadanganya