Serengeti Lite ndio habari ya Mjini

Serengeti Lite ndio habari ya Mjini

wikiend inaenda taratibu
IMG_6949.jpg
 
~~~>>>>Ulevi ni baba wa maa'swi tuache ulevi..
 
Ila matangazo ya pombe yanavutia jamani dah...sijui kwanini..ni tofauti kweli na ya magodoro...
 
usifananishe windhoek/ heinkein na hizo bidhaa zenu tafadhali

....Yule jamaa aliyeko Segerea na Singasinga si ndiyo alikuwa agent mkubwa wa hizo bia?? Nilikuwa namuona yule kijana wake tall hivi kwenye promotion za Heinkein na bendi yangu pendwa ya wazee wa Ngwasuma....sijui itakuwaje sasa.
 
Back
Top Bottom