Viongozi wana wasiri wao(informars) kuna aina mbalimbali za wasiri ,wapo Kwa ajili ya pesa wataleta hata taarifa ya uwongo ili wapate pesa, wanatoa taarifa pande zote mbili.
Wapo wasiri wanaochukia tu uhalifu na mbaya yote ndani ya jamii, huyu ni msiri mzuri na taarifa zake ni za kweli na...
Mimi nasikitishwa sana na mtu mnafiki anayejadili mtu kuliko hoja Kwa lengo la kupotosha Kwa kutuona sisi ni wajinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nipo hapa hapa musoma makao makuu ya mkoa Wa Mara watu Wa hapa ni wakarimu tofauti na nilivyowadhania, tatizo no watu Wa kulipa kisasi yaani kama umemfanyia ubaya hata baada miaka mingi analipa kisasi Kwa ndugu yako yoyote hata kama ulikwisha kufa.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.