Kwa miswada hii Mitatu ya madini na maliasili, Prof. Palamagamba Kabudi umetisha!

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
12,957
2,000
Rais Magufuli ninakupongeza wewe na wale wote waliokushauri ili kumteua Prof. Kabudi katika nafasi ya Waziri wa Katiba na Sheria.

Prof. Kabudi na timu yake ya wanasheria wameanza kutoa matunda yao mema kwa taifa kupitia kazi zao kama zilivyobainika kwenye miswada hii.

Kwa miswada hii iliyopelekwa bungeni ili kujadiliwa na kuwa sheria haina maneno mengi lakini yaliyopo yamejaa umuhimu mkubwa kisheria kwa maslahi ya taifa, sina shaka kwa kiwango kikubwa taifa litakuwa limeingia katika ukurasa mpya katika safari ya kulinda maliasili zake ili zinufaishe taifa kwa kizazi hiki na kijacho.

Kama Rais Magufuli alivyosema, ‘’tulichelewa lakini kama taifa tumeamua kufika’’ na kwa miswada hii ninatumaini tutafika.

Yaliyopo katika miswada hii ya sheria ni pamoja na;

>>Bunge kupitia mikataba yote ya maliasili za nchi kuangalia maslahi ya Watanzania na baada ya kubaini masharti hasi katika mikataba hiyo Bunge linaweza kuitaka Serikali kufanya majadiliano upya na upande wa pili wa mkataba ili kuondoa masharti hayo.

>>Kuweka utaratibu wa bunge kufanya mapitio na maridhiano ya mikataba.

>>Kufanya mapitio madaraka ya Waziri na Kamishna wa madini.

>>Kuimarisha mifumo ya uthibiti na uwajibikaji katika sekta ya madini na petrol.

>>Kupanua wigo wa ukusanyaji wa mapato kwenye sekta ya madini na petrol.

Kwa wale wanataka kuisoma hiyo miswada Gonga hapa;
LINK>>Miswada ya marekebisho ya sheria za maliasili

Hizi ni baadhi ya contents zilizoko kwenye miswada.
mining law.jpg

Issa shivji1.jpg
 
Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
8,227
2,000
Rais Magufuli ninakupongeza wewe na wale wote waliokushauri ili kumteua Prof. Kabudi katika nafasi ya Waziri wa Katiba na Sheria.

Prof. Kabudi na timu yake ya wanasheria wameanza kutoa matunda yao mema kwa taifa kupitia kazi zao kama zilivyobainika kwenye miswada hii.

Kwa miswada hii iliyopelekwa bungeni ili kujadiliwa na kuwa sheria haina maneno mengi lakini yaliyopo yamejaa umuhimu mkubwa kisheria kwa maslahi ya taifa, sina shaka kwa kiwango kikubwa taifa litakuwa limeingia katika ukurasa mpya katika safari ya kulinda maliasili zake ili zinufaishe taifa kwa kizazi hiki na kijacho.

Kama Rais Magufuli alivyosema, ‘’tulichelewa lakini kama taifa tumeamua kufika’’ na kwa miswada hii ninatumaini tutafika.

Yaliyopo katika miswada hii ya sheria ni pamoja na;

>>Bunge kupitia mikataba yote ya maliasili za nchi kuangalia maslahi ya Watanzania,

>>Kuweka utaratibu wa bunge kufanya mapitio na maridhiano ya mikataba.

>>Kufanya mapitio madaraka ya Waziri na Kamishna wa madini.

>>Kuimarisha mifumo ya uthibiti na uwajibikaji katika sekta ya madini na petrol.

>>Kupanua wigo wa ukusanyaji wa mapato kwenye sekta ya madini na petrol.

Kwa wale wanataka kuisoma hiyo miswada Gonga hapa;

LINK>>Miswada ya marekebisho ya sheria za maliasili

View attachment 532776
View attachment 532777!
!
Unaweza kuwa muswada mzuri sana Tena sana kabla Lissu hajatoa maoni yake. Asubuhi tu unaweza kuutumia kama toilet peper, maana Lissu atauchimba juu chini chini juu hadi umuone rubbish kabisa. Ngojea tusubiri
 
MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
12,957
2,000
!
!
Unaweza kuwa muswada mzuri sana Tena sana kabla Lissu hajatoa maoni yake. Asubuhi tu unaweza kuutumia kama toilet peper, maana Lissu atauchimba juu chini chini juu hadi umuone rubbish kabisa. Ngojea tusubiri
Kwa kukusaidia, Kibatala ni mzuri kisheria kuliko Lissu.

Hata kwenye sheria za mazingira, Lissu hawezi kumfikia Dr. Rugemeleza Nshala.

Lissu ni mzuri katika kelele za kisiasa lakini kwenye masuala ya kisheria hana huo uwezo unaosema. Lissu ni mwanasheria wa kawaida tu.

Kesi ya Zitto kufukuzwa CHADEMA aligonga mwamba.

Kesi ya kikatiba ya Mbowe kuitwa na Mkuu wa Mkoa na Kamanda wa Polisi katika kituo cha polisi amegonga mwamba.

Kesi ya kufanya mikutano ya kisiasa bila kibali cha polisi amegonga mwamba.

Hata kesi ya kina Bulaya na Mdee kuhusu adhabu walizopewa bungeni atagonga mwamba.

Kumbuka huu mswada umeandikwa na watu ambao hawana maslahi binafsi.

Miswada ya nyuma ilikuwa inaletwa huku ikiwa na hidden sinister motives
 
Precise Pangolin

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
12,879
2,000
Lissu ni mzuri katika kelele za kisiasa lakini kwenye masuala ya kisheria hana huo uwezo unaosema.

Hiyo ni miswada au wasifu wa marehemu? Hebu acheni ujinga leteni katiba ya warioba hapa sio kujificha nyuma ya vitu rahisi tu
 
MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
12,957
2,000
Hiyo ni miswada au wasifu wa marehemu? Hebu acheni ujinga leteni katiba ya warioba hapa sio kujificha nyuma ya vitu rahisi tu
Yaani unataka sisi tukuletee katiba ya Warioba? Huo ni uvivu wa kiwango cha juu.

Kama wewe una shida na Katiba ya Warioba, nenda ukaichukue lakini kikubwa zaidi, hakuna Katiba ya Warioba hapa duniani bali kuna Rasimu ya Katiba.

Kwa kukusaidia zaidi, unaweza ukawa na katiba nzuri lakini kama attitude za wananchi na viongozi hazibadiliki, katiba itakuwa ni maandiko kwenye makaratasi tu ambayo hayana maana yoyote.

Waingereza na Waisrael hawana katiba ambayo ni codified lakini kwa sababu ya attitude zao kwa sasa wamepiga hatua kubwa kisiasa na kiuchumi.

Kwa kukusaidia zaidi, uncodified constitution ni mkusanyiko wa legal instruments na sheria zinazotungwa kadri siku zinavyokwenda ambazo haziko kwenye kitabu kimoja. Kwa maana nyingine, hii miswada kwa Waingereza na Waisrael kama itakuwa sheria basi kwao itakuwa ni moja ya maandiko kwenye katiba.
 
Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
8,227
2,000
Lissu ni mzuri katika kelele za kisiasa lakini kwenye masuala ya kisheria hana huo uwezo unaosema.

Kesi ya Zitto kufukuzwa CHADEMA aligonga mwamba.

Kesi ya kikatiba ya Mbowe kuitwa na Mkuu wa Mkoa na Kamanda wa Polisi katika kituo cha polisi amegonga mwamba.

Kesi ya kufanya mikutano ya kisiasa bila kibali cha polisi amegonga mwamba.

Hata kesi ya kina Bulaya na Mdee kuhusu adhabu walizopewa bungeni atagonga mwamba.

Kumbuka huu mswada umeandikwa na watu ambao hawana maslahi binafsi.

Miswada ya nyuma ilikuwa inaletwa huku ikiwa na hidden sinister motives!
!
Kushindwa au kushinda kesi sio kigezo pekee cha Mwanasheria au wakili mahiri.... Beside nadhani Mheshimiwa Lissu kushinda kesi nyingi mno ukilinganisha na alizoshindwa.
 
Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
8,227
2,000
Lissu ni mzuri katika kelele za kisiasa lakini kwenye masuala ya kisheria hana huo uwezo unaosema.

Kesi ya Zitto kufukuzwa CHADEMA aligonga mwamba.

Kesi ya kikatiba ya Mbowe kuitwa na Mkuu wa Mkoa na Kamanda wa Polisi katika kituo cha polisi amegonga mwamba.

Kesi ya kufanya mikutano ya kisiasa bila kibali cha polisi amegonga mwamba.

Hata kesi ya kina Bulaya na Mdee kuhusu adhabu walizopewa bungeni atagonga mwamba.

Kumbuka huu mswada umeandikwa na watu ambao hawana maslahi binafsi.

Miswada ya nyuma ilikuwa inaletwa huku ikiwa na hidden sinister motives

!
!
Unataka niamini kwamba hizi ndio kesi pekee alizozisimamia Tundu Lissu?
 
Precise Pangolin

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
12,879
2,000
Yaani unataka sisi tukuletee katiba ya Warioba?

Huo ni uvivu wa kiwango cha juu.

Kama wewe una shida na Katiba ya Warioba, nenda ukaichukue lakini kikubwa zaidi, hakuna Katiba ya Warioba hapa duniani bali kuna Rasimu ya Katiba.
Wewe jamaa njaa itakuua umekuwa mlamba viatu wa dikteta hata akikutukana muulize kada mwenzio Nape ndio amaenza kujitambua
 
Precise Pangolin

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
12,879
2,000
Lissu ni mzuri katika kelele za kisiasa lakini kwenye masuala ya kisheria hana huo uwezo unaosema.

Kesi ya Zitto kufukuzwa CHADEMA aligonga mwamba.

Kesi ya kikatiba ya Mbowe kuitwa na Mkuu wa Mkoa na Kamanda wa Polisi katika kituo cha polisi amegonga mwamba.

Kesi ya kufanya mikutano ya kisiasa bila kibali cha polisi amegonga mwamba.

Hata kesi ya kina Bulaya na Mdee kuhusu adhabu walizopewa bungeni atagonga mwamba.

Kumbuka huu mswada umeandikwa na watu ambao hawana maslahi binafsi.

Miswada ya nyuma ilikuwa inaletwa huku ikiwa na hidden sinister motives
Huyo mkemia wa mabibo ya korosho yeye nini alishaleta kulisaidia taifa hili kupitia fani yake?
 
mtugani wa wapi huyo

JF-Expert Member
Dec 5, 2012
1,237
2,000
!
!
Unaweza kuwa muswada mzuri sana Tena sana kabla Lissu hajatoa maoni yake. Asubuhi tu unaweza kuutumia kama toilet peper, maana Lissu atauchimba juu chini chini juu hadi umuone rubbish kabisa. Ngojea tusubiri

Miongoni Mwa Janga la Taifa hili Ni pale Watu wenye Akili Wanaposhindwa kuzitumia na Kuamua kumkabidhi Mtu azitumie

ZIDUM FIKRA ZA TUNDU..................

Bado enzi za mwalim hazijesha ktk vichwa vya Wabongo
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
39,002
2,000
Rais Magufuli ninakupongeza wewe na wale wote waliokushauri ili kumteua Prof. Kabudi katika nafasi ya Waziri wa Katiba na Sheria.

Prof. Kabudi na timu yake ya wanasheria wameanza kutoa matunda yao mema kwa taifa kupitia kazi zao kama zilivyobainika kwenye miswada hii.

Kwa miswada hii iliyopelekwa bungeni ili kujadiliwa na kuwa sheria haina maneno mengi lakini yaliyopo yamejaa umuhimu mkubwa kisheria kwa maslahi ya taifa, sina shaka kwa kiwango kikubwa taifa litakuwa limeingia katika ukurasa mpya katika safari ya kulinda maliasili zake ili zinufaishe taifa kwa kizazi hiki na kijacho.

Kama Rais Magufuli alivyosema, ‘’tulichelewa lakini kama taifa tumeamua kufika’’ na kwa miswada hii ninatumaini tutafika.

Yaliyopo katika miswada hii ya sheria ni pamoja na;

>>Bunge kupitia mikataba yote ya maliasili za nchi kuangalia maslahi ya Watanzania,

>>Kuweka utaratibu wa bunge kufanya mapitio na maridhiano ya mikataba.

>>Kufanya mapitio madaraka ya Waziri na Kamishna wa madini.

>>Kuimarisha mifumo ya uthibiti na uwajibikaji katika sekta ya madini na petrol.

>>Kupanua wigo wa ukusanyaji wa mapato kwenye sekta ya madini na petrol.

Kwa wale wanataka kuisoma hiyo miswada Gonga hapa;

LINK>>Miswada ya marekebisho ya sheria za maliasili

View attachment 532776
View attachment 532777
Naunga Mkono Hoja.
Miswada hii ikipita hivi hivi ilivyo, na kama itakuwa applicable retro respectively kwa mikataba tayari iliyopo, then Tanzania tutakuwa tumevunja mikataba yote ya uwekezaji kwenue maliasili zetu, hakuna cha IICD wala MIGA, mambo yote ni Sheria za Tanzania!, huu ndio uzalendo, huu ndio uanamume, na kama hawataki, wafungashe, wakwende zao!.

Paskali
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom