Mi ndio mana huwa nasema nikimkuta mzungu kasimama kwenye daladala namm nimekaa nainuka akae yeye coz wanafikiria mbalii sisi ngoz nyeusi
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji10]
Yuko sahihi ukishajisajili au kujiunga utaambiwa kadi mpk ifike mezi lkn kibali cha mda ni mpk siku 7 baada ya kujiunga na hiko kibali kinakua valid mpk 14 days
Watu tumechangia tetemeko na matokeo yake.........
Sembuse ela ya mwanao kusoma HV HUONI AIBU!!!! Endekeza hy elimu bure uone unavomchimbia kaburi mwanao mwenyeweeee
Wape tu sh 10 z nothing when t comes to education bn
Aisee mi nashindwa elewa kbs sjui niliskia vby au..??
Kuna siku km nilimskia mkuu anasema uingereza wametupa bilioni 6!! Wkt huo michango ilikua ishafika km bilion 3 sasa leo naskia jumla 5 bil ht ile 6 ya mzungu haipo tenaa!!
Ngoja nipite zangu mie..
Mwanjale na murshid wanaelewana sana lkn majanga ni kuwa murshid yuko national team kurudi mpk February
Nahisi ni mda muafaka wa kuchezesha manyika golini otherwise asajili kipya huyu agban .....kimeo atawanyima kombe asubuhii kweupeeee
Vyombo vilivyo chini ya cc1000 vilishafutiwa road license toka mwaka juz cha msingi ni kuangalia kadi halisi na kuandikishiana kwa pkpk ni MC hakuna den hapo kbs
Oil filter elf 6 tuu na hubadilishi frequently acha uoga kijana boxer matunzo km kutunza muoga kweli shida usinunue mwaka huitaman lkn cheza na oil na spare original utaipendaa hii mashine hataree
Katika pkpk zooote zenye cc150 kushuka chini hakuna mashine km boxer mkuu, wanaoiponda ni wale wapenda oil za videbe yn boxer ukiweka oil ya ukweli kwa mda muafaka utaipenda na vifaa vyake ni durable
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.