Cooling systemHabari wapendwa .jamani nimekuja uku kucheki wataalamu wanasemaje kulingana na shida niliyonayo. Gari langu linapata heat sana na kuzima yani ukitembea kidogo linapata heat na kuzima. Je tatizo linaweza kuwa nini ? Majibu ni kwa wale wenye uhelewa wa tatizo hilitu
Cooling system
1.radiator
2.thermostat
3.fan
4.coolant
Kimoja wapo hapo kikifa/kisipofanyakazi vizuri gari itachemsha na ndio inazima nyingine haiimiki utaikaanga. Ukiendelea kutumia hivyo utaunguza cylinder head gasket na baadae cylinder head yenyewe kupinda.
Cylinder head gasket/head ikipinda hata ufanye nini gari itachemsha tu mpaka inyoonshwe au ununue ingine mpya.