Lengo hasa la kutumia vilevi

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Unakuta mtu anakunywa pombe, kuvuta sigara au kutumia madawa ya kulevya.

Vyote hivi vinateketeza hela, kuharibu afya, familia na kupunguza life span ya kuishi hapa duniani.

Nini faida ya kutumia vilevi kisiasa, kiuchumi na kijamii?
 
kila kitu kipo kwa sababu. kuna watu hizo ndo biashara zao familia inaenda chooni kwa sababu ya biashara ya bia n.k
 
Unakuta mtu anakunywa pombe, kuvuta sigara au kutumia madawa ya kulevya.

Vyote hivi vinateketeza hela, kuharibu afya, familia na kupunguza life span ya kuishi hapa duniani.

Nini faida ya kutumia vilevi kisiasa, kiuchumi na kijamii?

Unaweza ukawa hutumii Hivyo vitu lakini hela yako yote inateketea kununua MADVD ya Bongo Movie yale ya Lufufu.
 
Pombe zimewekwa makusudi na watawala ili msijitambue yaani msiwe kwenye uhalisia ili iwe rahisi kuwatawala.
 
money is what money does kusema kutumia hela kunywa pombe ni kuteketeza hela sijui ulitaka hiyo hela ifanyanyaje kumbuka Uchumi ni muzunguko ili serikali ipate fedha za kujenga miundombinu kule kijijini kwenu na madawa yapatikane hospitalini ni lazima ikusanye kodi-na kodi zinatoka huko huko kwenye viwanda vya bia au hujui viwanda vya bia ndio vinaoongoza kwa kulipa kodi.
Pia kumbuka duniani ulizaliwa peke yako na utakwenda kaburini peke yako,hivyo hoja ya kupunguza life span is bullshit kwa vyovyote vile utakufa na sijui hoja ya pombe ina punguza life span ulipata wapi?? maana huko Urusi watu wanakunywa pombe kama Maji na ndio wanaongoza kwa kuishi miaka Mingi!.
 
Vitu vingine binadamu hufanya kwa mazowea tu japo anajua kabisa kua havina faida yeyote au anaweza kujua kabisa ni hatari kwa afya yake!!
 
Je wajua kwamba??
1.Ukiacha Anasa
2.Ukala vizuri
3.Ukafanya mazoezi vizuri
4.Ukiacha kunywa Soda
5.Ukiacha kumichana
6.Ukiacha kunywa pombe,whiskey,wine,brand, Gin viroba na sigara.....Ipo siku UTAKUFA TU
 
Watu wanaotumia vilevi[kupindukia] wana lengo la kukwepa uhalisia sababu ya mambo kuwa wasivyotaka.....hivyo wanajiondoa ufahamu ili wasikumbuke magumu wanayopitia walau kwa muda.

Kuna wanaotumia kutokana na kushawishiwa na makundi yao, lakini si wote watakaoendeleza ulevi.

Kuna vilevi kwaajili ya starehe tu kama vile pombe kiasi, weed......n.k.
 
Back
Top Bottom