Nilichokiona NHIF

Nilichokiona NHIF

Duh, ni shida. Sasa hata taasisi ya muhimu kama hii wananchi tunayoitegemea wanaleta mambo ya ajabu?
Wajibikeni, huduma za afya ni muhimu sio za kuwekwa pending kiasi hicho, na kwa jinsi ninavyoijua nchi yangu baada ya huo mwezi ukienda utaambiwa bado.
 
3. Hujaelewa mkuu. Unapewa kibali ambacho kinakuwa valid for 7 days. Ulisikia vibaya mkuu. Ulienda ofisi za wapi??
Yuko sahihi ukishajisajili au kujiunga utaambiwa kadi mpk ifike mezi lkn kibali cha mda ni mpk siku 7 baada ya kujiunga na hiko kibali kinakua valid mpk 14 days
 
Iyo bima ni mzigo sana.Mimi mara kibao nimenunua dawa kwa pesa zangu kwasababu izo dawa nilizoandikiwa na doc haziko kwenye mpango wa bima nilipouliza kwanin nikaambiwa bima wanapanga dawa hasa zile za bei rahisi.Na kingine kilichoniudhi ni pale niliposhindwa kumsajili mtoto wa shemej yangu ambaye ni marehem.Niliambiwa niende ofisi za ustawi wa jamii nikamsajili kufika uko nikakutana na fomu zenye mashart mengi ambayo ata aliyenipa hizo fomu hawez kuzifafanua.Sasa kama nia nikusaidia watu kwanin kuwe namlolongo mrefu usioeleweka pale unapotaka kuweka wategemez ambao sio watoto wakuwazaa.Mfuko ni mzur ila boreshen huduma zenu.
 
Mmmh, lkn mim nilifika ofisin kwao kiukweli nilipenda Customer care yao. Lkn hata mkoan niliko Meneja wao yuko very social yani. Polen mliokumbana na kadhia hizo.
 
Back
Top Bottom