Recent content by Fernando garmiro

  1. F

    JamiiForums Tanzania Tunakopesha pesa dhamana gari na kadi yake

    Habari za saizi, je ukitaka kukopa kiasi kidogo huwezi ukaeka kama baiskeli ikawa ndo dhamana?
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ni kipi sahihi zaidi kati ya kumwambia mtu sikutaki au kumzungusha?

    Uwiii izi mambo zinaumiza sanaaa na ni bora uambiwe SIKUTAKI kuliko kumzungusha mtu jamani,
  3. F

    JamiiForums Tanzania Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

    Siyo wote ingawa kwa asilimia nyingi wanapenda kufanya ivyo
  4. F

    JamiiForums Tanzania Walimu Sekondari kupelekwa kufundisha shule za Msingi

    Ata kama zoezi linafanyika Tz nzima ila kwa uko Moshi limemluta ndugu yangu wao kwenye shule yao walimu 11 wanatakiwa wakafundishe shule za msingi
  5. F

    JamiiForums Tanzania Weka picha yoyote ya Mandhari hapa

  6. F

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie mademu, pesa haswa ni sh ngapi?

    hapa siombi hela moja kwa moja huwa naanza kujiongelesha tatizo mbele yake kwa upolee, labla nitajisemesha ivi "YANI BABY AKE UMEONA NYWELE ZANGU ZILIVYOKUWA MBAYA KAMA NINGEKUWA NINAHELA NINGEENDA SALUNI[emoji18] [emoji18] " alafu napotezea siongelei tena icho kitu badae utamsikia mwenyewe...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie mademu, pesa haswa ni sh ngapi?

    Uwiii kumbe tuko wengi jamani ila kuna rafiki yangu alikuwa ananiambia"wewe acha ujinga hakuna kitu cha bure mjini hapa"ila bado an siwezi kunyanyua mdomo kuomba pesa kwa mpenzi wangu
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kinachomgharimu Zari ni Kutaka kuolewa na vijana wakati yeye ni mzee

    Nikweli ila bado kuna watu wazima ovyo kwenye suala hili, mapenzi siyo umri jamani kikubwa ni maelewano na watu kujielewa
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mwanaume bila gari ni aibu kubwa

    [emoji15] kwani nini maana ya gari? Gari ni kitu gani? Sidhani kama ni aibu mwanaume kukosa gari kwasababu unapofikiria kupata gari mwenzio kuna wengine ni walemavu wanamuomba mungu ata angewapa miguu tu ili siku wasimame na watembee kama wewe[emoji24] [emoji24] [emoji24]
  10. F

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuvaa Chupi

    Huwa sivai chupi nikiwa nyumban labda niwe na safari ndo navaa na uzuri ni kwamba naishi peke yangu
  11. F

    JamiiForums Tanzania Siku mimba inaingia mwilini, kuna dalili yoyote inatokea?

    Utahisi kichefuchefu, utatema mate na utahisi mtoto anacheza tumboni
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ahsante mume wangu kwa kuachana na mchepuko

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Back
Top Bottom