Tunakopesha pesa dhamana gari na kadi yake

Tunakopesha pesa dhamana gari na kadi yake

Mkuu ulichokiandika unakijua kweli? Kuna mkopo magumashi ukienda benk ukakopa halafu ukashindwa kulipa dhamana wanakuachia? Mkopo wowote ukizingatia yaliyomo ktk mkataba lazima ufaulu wengu huchukulia poa kwakuwa mkopeshaji sio ofisi nafikir umeelewa mtu akigoma kukuelewa ndo unaita magumashi

Muda umefika mtu hapatikan wala haonekan kwa nini usiaende polisi kujiweka sawa kwamba tumekubaliana leo tunalipana mliopwaji kalala mbele mzigo wake huu mkataba huu naomba niwe salama akipatikana nakubaliana na ww huo mchezo upo kama mzembe

Una vibali vya BOT kufanya hii biashara?
 
Biashara hii ina uhalali gani kisheria au ni ile kati ya mkopeshaji na mkopeshwaji tu? Kuna mikataba ya kimaandishi au neno la mdomo?
 
Biashara hii ina uhalali gani kisheria au ni ile kati ya mkopeshaji na mkopeshwaji tu? Kuna mikataba ya kimaandishi au neno la mdomo?
Njoo ujionee jf atakuonesha nani
 
Mzee uwezo wako ulipoishia kumilik kitu cha gharama ni simu unayoingilia jf
Wee makaliooo Mimi sio tapeli kama wee,Mimi namaisha Yang mwenyew sichezi mchezo wa kubahatisha na kuhangaishana na wateja kama wewe,am a self employed gentlemen sihangaiki na huo utapeli wenu mwehu wewe tafta wakumtapel sio hapa JF renga wewe
 
Hivi kuna mtu kakuita hakuna anabahatisha bwana mdogo ukiona had mtu kaamua kukopesha kwa umma ujue hali sio ya kitoto bado hujakua angalia hata lugha zako tayar watu washakuja wameacha mindinga wamuvuta mpunga maisha yanasonga pambana na hali yako cha gharama ulichonacho ni simu tu unajidai una machale masikin kumbe huna kitu endelea kuvizia msos kwa baba zako
 
Pia nasikia kuna ushirikina ndani yake. Utajitahidi kwa mbinu zote kutaka kulipa deni lakini utashindwa.
Mambo ya tajiri fulani makambako anakukopesha gari coaster au hiace utalipaa hadi ikibaki kama mil 2 au 1 anakuseti humalizi hilo deni hata akuongezee muda vipi mwishowe unang'anywa gari ndo mwisho wako
 
Hivi kuna mtu kakuita hakuna anabahatisha bwana mdogo ukiona had mtu kaamua kukopesha kwa umma ujue hali sio ya kitoto bado hujakua angalia hata lugha zako tayar watu washakuja wameacha mindinga wamuvuta mpunga maisha yanasonga pambana na hali yako cha gharama ulichonacho ni simu tu unajidai una machale masikin kumbe huna kitu endelea kuvizia msos kwa baba zako
Tapeli wengine mzeee sio Mimi
 
Watu wengi wamepoteza gari na nyumba zao kwa mikopo ya kimagumashi kama hii maana ukipitiliza kidogo tu muda wa kulipa umekwisha lakini isitoshe hawa wakopeshaji wamekuwa wakifanya ujanja ili usiweze kulipa deni lako maana ule muda mliokubaliana hutampata ili muda upite uone kivumbi(kunyang'anywa dhamana uliyoweka)
Mnapatana na kulipana mbele ya shahidi Kwa makubaliano asipotokea siku ya malipo kuchukua hela yake unapunguza 10%
 
Tapeli wengine mzeee sio Mimi
Mtu aise na kitu huwa nimwepes kutoa kauli chafu kwa mtu ambae sio level zake hii ni kawaida ya watanzania waliokosa kitu tushawazoea hamtupi shida mm ni kijana mdogo tu sijafikisha hata miaka 35 lakin nimefanya makubwa mno ktk dili zangu sina shaka na mkono wa serikali wewe endelea kuvizia vyakula kwenu.
 
Riba 30% ni ngumu kwa mazingira ya biashara sasa hivi, hii inawafaa kina Bakhresa na wao hawakopeshwi huku jf.
 
Mambo ya tajiri fulani makambako anakukopesha gari coaster au hiace utalipaa hadi ikibaki kama mil 2 au 1 anakuseti humalizi hilo deni hata akuongezee muda vipi mwishowe unang'anywa gari ndo mwisho wako
Siku ya kuja kukunyang'anya tia engine chumvi,mgawane hasara ya hio laki Mbili iliyobaki,nilengeshe nikakope coaster.Nimfungie spare za kichina na kutia engine chumvi,au nikalikopee,akiniset tunasetiana inakula kwake.Yaani uchukuliwe pesa kibwege bwege nawe ukubali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom