Hivi nyie mademu, pesa haswa ni sh ngapi?

Hivi nyie mademu, pesa haswa ni sh ngapi?

Kitendo cha mwanamke kuomba hela binafsi huwa nachukulia ni kama muuzaji, so anaomba hela ni kama nalipia huduma anayonipatia. Mwanamke kuomba omba hela ovyo ni kujidhalilisha sometimes na utaonekana ni sawa na muuzaji mwengine tofauti yake ni kuwa yeye ni retailer wakati wauzaji wengine ni wholesaler. Dem akiniomba hela tu ndio amekosa ninavyotaka kumpa na huwa amenifukuza kwake[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Hawa watu wanatofautiana sana matumizi wengine atakuomba pesa ya kila kitu kinachomhusu mwingine atakuomba akiwa na emergency tu sasa viwango sasa ni juu yao
 
HAPO KWNYE AYA YA MWISHO ULIVYOMALIZIA SASA ..HAHAA

MKUU BONGO UKIWA NA UWEZO WA KUMILIK MTAJI WA ML.10 THEN UKAWA UNAINGIZA 800K AU ML.1 KILA MWEZI ..AISEEE UTAWAL MPKA UCHOKE ..
tena wweza fikia hatua wengine mpka ukawa sahau
 
Mi nilikuwa na boyfriend simuombi hela wala nini had akawa ananishangaa nami spendagi kuomba hela au Mimi ni mshamba kuliko wanawake wenzangu had najionaje cjui cpendi kujidhalilisha nakuomba omba
wewe utakuwa wamkoani ..mademu wa dar nishida ..wanaomba omba hao
 
Mi nilikuwa na boyfriend simuombi hela wala nini had akawa ananishangaa nami spendagi kuomba hela au Mimi ni mshamba kuliko wanawake wenzangu had najionaje cjui cpendi kujidhalilisha nakuomba omba
Uwiii kumbe tuko wengi jamani ila kuna rafiki yangu alikuwa ananiambia"wewe acha ujinga hakuna kitu cha bure mjini hapa"ila bado an siwezi kunyanyua mdomo kuomba pesa kwa mpenzi wangu
 
Uwiii kumbe tuko wengi jamani ila kuna rafiki yangu alikuwa ananiambia"wewe acha ujinga hakuna kitu cha bure mjini hapa"ila bado an siwezi kunyanyua mdomo kuomba pesa kwa mpenzi wangu
Na endapo unapata emergency inakuaje?
Au pia hutamuomba.?
 
Mi kuna demu nilimuacha alikuwa na tabia ya kuomba pesa ndogo ngogo mara baby naomba elfu kumi,mara naomba elfu tano.yaani inakera sana.
 
Moja ya wanawake wabaya sana duniani


Yaani nikupe pesa yoyote niliyonayo.
Maana yake nikiwa na laki mbili Siku hiyo nikutunuku yote

Aki ya Nani wewe ni mfirisi

Teh
 
Hongera bibie... Mwanamke kuomba vihela mbuzi ni ushamba wa aina yake.. Ntamuelewa mwanamke atayeniambia Baby naomba unifungulie biashara.. Honestly ntajikaza nitafute hata milioni 6 ... Ila sio demu kila siku vimzinga vya 20k
Aki unatafuta mwanaume mwenzio
 
Hivi wakati mwingine ss wanaume tunaudhi hivi kweli wewe unaomba papuchi utunukiwe bure tu

Mwanaume toa matumiz walau mwenzio ajilembe


Ila nawapenda sana wanaoomba vitu
Na Mara baada nampa ya tumizi ka kawa
 
Na nyie si mnavyenu mnaangaliaga mpk umfuate huyo mtu. Kwahyo don't judge women kwa kupenda ela, maana ht nyie mnavyenu mnavyopenda
Hicho unachokitoa kinapungua nini? Mnakitumia kama kitegauchumi? Hakikuumbwa kwasababu hiyo!!!
 
Tatizo lako hujafanya economic and historical analysis ya mazingira hayo yote uliyotaja.
  • Uswazi/Kijijini: Maisha yenyewe yako chini, msosi unapata hata wa buku. Niliwahi kusafiri kikazi nikakuta sehemu pekee wanapouza msosi ni buku hadi buku jero. Nikawa naattend kila siku pale... mwanaume kwa fujo naongezea mishikaki kama ya buku tena basi naonekana matawi ya juu. Niki haikuisha nikamla demu mzuri kweli, offer zangu zilikuwa soda tu namnunulia, siku nyingine mishikaki. Siku naondoka nilimwachia 20 tu na akaniomba namba. Nikamwambia nataka msichana wa kazi, akawa tayari, you can imagine.
  • Wasichana wa chuo: Mpaka kufika chuo Kikuu, huyu binti anakuwa ameshashika pesa, na mazingira ya chuo gharama zinaongezeka, pamba, saloon, simu etc ili aonekane na yeye ni wa level ya chuo. Hivyo ukimpa buku tano kwanza atakushangaa, maana ni nauli ya siku tatu tuu kwenye daladala.
  • Demu wa Posta/town: Kwanza anajua maisha ya kule ni expensive sana na wanaomudu ni vigogo wakubwa wenye kumiliki USD accounts, sasa utamhongaje 50k?
Kwenye historia maeneo hayo matatu yanatofautishwa na degree of integration into the global capitalist system. Yule wa kijijini bado yuko kwenye subsistence life style, ambapo mwanaume mwenye baiskeli ndo mwenye uwezo, na mwenye pikipiki ndo tajiri. Wa Uswazi yuko kwenye semi-subsistence or semi-capitalist system. Wa chuo na Posta wapo kwenye capitalist system, ambapo kila kitu ni pesa. Tafakari chukua hatua ndo maana kuna msemo kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake.
 
Hizi mambo nilishashindwa since I was young,.nna mikono,akili timamu,nimesoma nna uwezo wa kutambua fursa na kuitumia aiseee siombi ng'ooo kwanza hela ya kupewa haitoshi hata upewe million utaona bado ndogo,..ukinipa hewala usiponipa hewala vilevile am happy na kile kidogo ninachokitafuta kwa jasho langu,..watu ombaomba(in relationship) ni wavivu wa kuwaza na kutenda vilevile.
 
Back
Top Bottom