Nimemwacha kwangu toka asubuhi, kila kitu kiko ndani, nimerudi muda huu yaani hajapika anangalia maisha magic bongo!

Aisee kuna mijanamke kwel sjui ikoje, yaani nimeamka asubuh nimeenda job nimeliacha limelala linajitanua tuu kwenye 6×6 yangu,

Kila kitu kiko ndani,friji imejaa nyama, kila kitu, mchele uko ndan, unga, mayai,etc
Kiiiila kitu...

Yaan naingia tuu moja kwa moja jikoni,***** hakuna kitu, namuuuliza eti sijapika, kaona nimetoka nje, eti naomba niletee mishkaki,..

Kiukwel now nina njaa ya ajab, nakula dodo hapa na matango yalikua kwenye friji...huyu demu ni bure kabsa, halafu ni new project...

Alafu limekaa hapa linakula mishkaki huku linanihadithia hiyo muvi ya Gabo linaangalia maisha magic bongo.
halafu utaendelea naye utasema unampenda utaomba ushauriila utakuwanaye bado af baadae ndo ulete thread ya ajabu ukiwa umeoa au akiwa mpenzi kabisa.
 
Aisee kuna mijanamke kwel sjui ikoje, yaani nimeamka asubuh nimeenda job nimeliacha limelala linajitanua tuu kwenye 6×6 yangu,

Kila kitu kiko ndani,friji imejaa nyama, kila kitu, mchele uko ndan, unga, mayai,etc
Kiiiila kitu...

Yaan naingia tuu moja kwa moja jikoni,***** hakuna kitu, namuuuliza eti sijapika, kaona nimetoka nje, eti naomba niletee mishkaki,..

Kiukwel now nina njaa ya ajab, nakula dodo hapa na matango yalikua kwenye friji...huyu demu ni bure kabsa, halafu ni new project...

Alafu limekaa hapa linakula mishkaki huku linanihadithia hiyo muvi ya Gabo linaangalia maisha magic bongo.
Sasa unalalamika nini wakati mishikaki umenunua hii inaonyesha kuwa huna guts za kumwambia haya kama we mwanaume kweli ungemchana na hiyo mishikaki usingenunua.
 
Af ninyimwe na papuchi??...yaan unataka nikose vyote au sio?
 
Back
Top Bottom