Hivi nyie mademu, pesa haswa ni sh ngapi?

Hivi nyie mademu, pesa haswa ni sh ngapi?

Na endapo unapata emergency inakuaje?
Au pia hutamuomba.?
hapa siombi hela moja kwa moja huwa naanza kujiongelesha tatizo mbele yake kwa upolee, labla nitajisemesha ivi "YANI BABY AKE UMEONA NYWELE ZANGU ZILIVYOKUWA MBAYA KAMA NINGEKUWA NINAHELA NINGEENDA SALUNI[emoji18] [emoji18] " alafu napotezea siongelei tena icho kitu badae utamsikia mwenyewe anasema "KESHOKUTWA NITAKUPA HELA UENDE SALUNI" kiukweli mimi huwa namaliza shida zangu Kwa staili hii na nawez nikaa miezi miwili hadi mitatu ndo nafanya aka kamchezo.Izo siku nyengine akinipa huwa kapenda mwenyewe tu
 
Hapa naendelea kuorodhesha mademu wa JF wasioomba hela, hadi hapa nishapata 4, baadae nitatoa list kamili, teh!
Na mie niwekemo best japokuwa huwa naomba. Hahaaaa.
 
Uwiii kumbe tuko wengi jamani ila kuna rafiki yangu alikuwa ananiambia"wewe acha ujinga hakuna kitu cha bure mjini hapa"ila bado an siwezi kunyanyua mdomo kuomba pesa kwa mpenzi wangu
Mimi nilishashindwa had baby alinishangaa kwanini simwombi hela
 
wewe upo vzr sana
mimi kama mangi nakupongeza
Bora nifanye kazi hyo kutopenda mteremko kumeniepushia tamaa nakujitunza mwili mana wanaume wengi ukiwaomba hela wanakuwa wana kutumia tu mwili wako, nami najipenda
 
Umeongea pointi nzuri hivi kujali ni kupi huko wengi huwa tunafail hapo..Zawadi ndogo ndogo si ndiyo?
Kujali kuna husisha vtu vingi sasa mie napenda true love kwanza then mengine yafate pia nikiwa na kidogo naweza Fanya HVi kwa mpenzi
 
Ooiii Acha kuweka mataifa hapa. ...
Nilimaanisha Tamaduni zao waomba hela....maana wako duniani kote
Kwa hiyo rafiki na chura yako yote hiyo wala huhitaji hata kumi ya mtu?[emoji53][emoji53][emoji53]
 
Wanawake wote duniani wanapenda kupokea. Hata kama hauombi lakini moyoni utakuwa Unataka upewe. Mwisho wa siku unamkacha mshikaji unaenda unakopewa.

Note: all women are attached to material.
Mimi huwa napenda kwanza sipendi kuomba ombaga vtu hyo ni principle yangu na sipendi kutamani kupokea kitu kwa.mtu
 
Sa kwanini ulimwacha!?
Huyo kaka alini cheat kwa kuwa na wanawake wengine, maybe because nilikuwa simwombi hela, pia ni yule design anatumia wanawake na Ku dump, sasa mie kutoa papuchi hovyo cwezi nilivoona texts za mchepuko mahusiano naye nikayafunga rasmi
 
Kujali kuna husisha vtu vingi sasa mie napenda true love kwanza then mengine yafate pia nikiwa na kidogo naweza Fanya HVi kwa mpenzi
Umenimaliza nilitaka kuuliza swali la nyogeza lakini baaasi!!!
 
Back
Top Bottom