Recent content by felinda

  1. felinda

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kuondoa madoa na chunusi usoni

    Kanunue septilin chukua kidonge kimoja loweka kwenye maji kikilainika paka usoni subiri ikauke chukua kitambaa kikavu futa usioshe na maji kisha lala...my dia utakuja kunishukuru...fanya kwa siku kadhaa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. felinda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend Story: The Art of Staying Married! (The grass is always greener on the other side)

    Ahsante lala1 kwa story yenye mafunzo mengi...salute kwako!!
  3. felinda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini baadhi ya wanawake huwa hawapendi kujitawaza na maji pindi waendapo msalani?

    Sio wanawake tu hata wanaume wapo wanatumia toilet paper....sipendi hiyo tabia jaman khaaa.
  4. felinda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

    Mi mangi kanifurahisha sana jamani yan alivyopata ushindi wa mezani akasahau mechi tatu alizokimbia...vi status sasa hahahhaaa eti kiboko ya anny. KLM nimempenda bure...aggy anauvumilivu jamani duh.lakini ametufundisha mvumilivu ula mbivu.
  5. felinda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Forbidden Romance With The Priest! (Huba la padri lilivonoga) READER BE AWARE!

    So sad.
  6. felinda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wife baada ya kuufahamu mchepuko kanipa 'Big up'

    Wonders shall never end.
  7. felinda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majina mazuri ya kumwita mpenzi wako

    Baba fanueliiii
  8. felinda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempata Mbaya Wangu After 10 Years, Najishauri Nimfanyaje?

  9. felinda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempata Mbaya Wangu After 10 Years, Najishauri Nimfanyaje?

    Yan natamani nije nikusaidie tumfanyie kitu mbaya.....mi nikikutana nao hata kama ni miaka 20 badae lazima niwafanyie kitu mbaya coz walinitesa sana aisee.
  10. felinda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempata Mbaya Wangu After 10 Years, Najishauri Nimfanyaje?

    Mie nilivyokuwa olevel ilitokea bifu za hvyo na boys huwa na hacra nao sana na huwa natamani niwafanyie kitu mbaya though ni miaka mingi sana imepita.....nimekuelewa sana lala 1 hyo kitu inauma sana so ww mfanyie tu mbaya.
  11. felinda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania THE NIGHT WALKER! MMU LADY COLLECTOR OF ORGASMS! "I slept with them all and i don't regret it!"

    Dah ubuyu ndo umeisha hvyo......nmekupenda bure lala 1.
  12. felinda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania In case uchumba unavunjika

    Namrudishia akamvalishe mwingine
  13. felinda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu gani mpenzi wako kakufundisha ambacho hukutegemea kutoka kwake?

    Kusamehe na kusahau.
  14. felinda

    JamiiForums Tanzania Ohahahahaaaaa!!!

    Hahahah.hatariiiii
  15. felinda

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Yake ngwengwe ndo nini?
Back
Top Bottom