Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,373
- 68,476
wife wako ana busara sana! mwambie namsalimia
We subiria tu ipo siku atakuonyesha mchepuko wake nawe uusifie, Mungu anakupa wa kufanana na wewe.
salaam
Juzi usiku sikulala ni kama nilikesha nambembeleza wife anisamehe kutoka na kusoma sms za malove toka kwa mpango wangu wa kando.
Alillia ghafla akanyamaza akaniuliza nakoswa nini kwake, nikamjibu hakuna akauliza tena huo mchepuko una kipi kumzidi mpaka nimsaliti, asije akawa analia kumbe mchepuko wenyewe sura ya kazi ngumu nikamjibu ni wa kawaida tu, ila moyoni najua ni mkali kumzidi.
Akaniambia nikitaka suluhu basi auone na niuambie mbele yake kwamba its over btn us. Nilibisha bisha at last coz i love my wife nikaona isiwe tabu let me rescure our marriage.
Jana asubuhi nikaupigia simu chini ya usimazi wa wife on loud speaker nikaumba tuonane Samaki Samaki ya Zanaki jioni mida ya kumi na mbili. Mida ya 11:30 jioni.. i and wife tulikuwa pale niliagiza supu lakini sikuwa na hamu nayo, nilikuwa nawaza reaction za wife mtanange utakapoanza.
Ndani ya fikira hizo...mara mlengwa huyo akaingia wife ndo alikuwa wa kwanza kumuona akaniuliza ndie? Nikamjibu kwa kichwa tu huku mapigo yangu ya moyo yakiwa 200 kwa dakika, mate mdomoni yalinikauka. Mrembo alikuja straight kwangu akiwa na smile la haja, mie hata sikutaka kumwangalia usoni. Kifupi ni mzuri na figure yake siyakitoto type Irine Uwoya. Nikajua nimekwisha.
Cha kushangaza wife akainuka akaniambia nimsalie mchepuko then nimfuate pale kwenye lift. Nikabaki nashangaa kweli nikaupa hi na hug bubu nilimwomba akae nakuja, then nikamfuata wife.
Kufika nakuta anasmile, akaniambia we mshenzi unajua kuopoa, ulimpata wapi huyu? Kabla sijamjibu akaniambia alimwacha chuo na enzi hizo alikua within top five hotiest girl in the college.
Kwa kunishanga zaidi akanimbia unabahati nimemkubali, panda lift tuondoke akachukua simu yangu akampigia mchepuko akamwambia asinitafute tena.
Usiku wa kuamkia leo nilikua honey moon nimepewa malove firstgrade.
Kumbe mchepuko akiwa mkali kesi inapata natural death!? Au timbili bado?
Nawakilisha
Acha vitisho aisee mbona ntaishia jela

Jamaa anajiona mshindi kwa mkewe kumsamehe kishkaji.! Jamaa afikirie nje ya sanduku alilomo ajiulize maswali magumu sio kuchekelea kusamehewa kifarafara namna ile.(kama stori inamuhusu kweli akijua ukweli wa mkewe atajiona binge la bwegenazi kuwahi kutokea).
Mkuu usifurahie hilo jambo. Mkeo anakutafutia siku ambayo nawe utamsifia kwa kuchagua handsome boy. Uwe muungwana siku hiyo utakapoitwa kutoa tathmini na ndipo utajua nini maana ya natural death
Kumbe mkuki Kwa Nguruwe eeeh..
Ukute na mkeo anafanya makusudi ila na yy ana wake pembeni jisahaulishe tuu na hz honeymoon"
Hata mm nko hvy ningekusamehe tuendelee lkn tit for tat lazma ihusike ili nikusamehe vzuri..
Chunguza na ww ss😀
Kisasi cha hivyo si utaendeleza kujivunjia heshima mwenyewe..you cant guess what will be my reaction on that day.
😀😀😀 mpk ufikie utakachofikia utakaa ujiulize mbn mm nilifanya INA mana ye hakuumia:what: so ye hana wivu ama anakupenda sn eeeh?
Au ss hatuna moyo wa kuumia 😕
K moiyo yenu ni laini hamtakiwi kuijaza visasi.
"In every reaction there is equal and opposite" wanawake wanalipaga vibaya sana usipime mkuu indelible u still have chance to regret if u real love your wife and life..ukiweka kiburi jiandae na plan mpya ya maisha.