In case uchumba unavunjika

In case uchumba unavunjika

Mwanamke unakubali kukaa na pete ya uchumba kidoleni miaka zaidi ya 2....sifanyi huo ujinga.
 
Rule #1 . Never break your bank for an engagement ring. Wal-Mart and KMart have very nice rings for reasonably affordable prices.

Rule #2 . In case you do break your bank to get it, when the engagement is broken off, you take back the ring and flush it down the toilet.

Cuzzo puh leez!, are U serious?!, couple of carats for the love of your life won't hurt!, C'mon now!
And your rules and mine are like north and south!, I'm not a high maintenance but when he wants to put that ring on it!, he better dig his pockets, and if we don't make it to the altar, am keeping the bling!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
nilivyokuwa na jazba naweza kumg'oa ngozi ya kidole wakati naichukua kinguvu halafu ukute yeye ndo kanizingua aaaaah kitawaka mbona!
 
Acha utani ..duh!
Vidume vina uchungu na pesa..!
lakini inategemea sababu za nyie kuachana..
Kama mdada alicheat...aaaah, hata mimi naichukua aisee!

Simpaka unipate nikikuona tu nakula kona situnakuwa tumeshaachana. Nikupe yanini sikupi Ng'o. Siilikuwa yangu.
 
Kiustarabu pete kama pete unamwachia tu.
Inakuwa kistaarabu kama mliachana kistaarabu, otherwise hakuna ustaarabu kwenye kuachana...!
Kama ulichiti naichukua tu...uende akakupe huyo uliyemchanulia huko..aaah!
 
Inakuwa kistaarabu kama mliachana kistaarabu, otherwise hakuna ustaarabu kwenye kuachana...!
Kama ulichiti naichukua tu...uende akakupe huyo uliyemchanulia huko..aaah!

Hivi hujui kama watoto wa siku hizi wamedata, kwani situlikuwa marafiki na peter ulidhamiria kunipa sasa iweje uninyang'anye? Nakuambia sikupi labda unikate kidole. Na nikitoka hapo hutaiona tena kidoleni kwangu naenda kuitengeneza hereni. I'm sure uta surrender tu.
 
Eli79. Pete kitu gani kaka unaacha tu kwani umesha wahonga wananwake wangapi hadi umaind hiyo pete? Kumnyang'anya pete ushamba huo.
 
Eli79. Pete kitu gani kaka unaacha tu kwani umesha wahonga wananwake wangapi hadi umaind hiyo pete? Kumnyang'anya pete ushamba huo.
afu we Gololi One vitu vingi kwako ni ushamba eeh!
Kumbuka pete ni zaidi ya pesa, ni alama na ishara ya upendo wangu kwako. Kukuachia hiyo pete ina maana bado nakupenda kitu ambacho sio kweli. Tukiachana manake nachukua pete yangu. Vingine wala sina shida ya vingine..hata gari nakuachia lakini sio pete...alama ya upendo hiyo..!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom