Nimempata Mbaya Wangu After 10 Years, Najishauri Nimfanyaje?

Yes ningewasamahe coz binti atakuwa amejipeleka ktk mazingira hatarishi mwenyewe, we utakubalije kwenda kulalwa bweni la wavulani sijui hotel whotever ilihali ni chumba cha wavulana watupu, kama siyo kujilipua huko ni nini - that's one of the outcomes

it was a mistake yes, at that age tulifanya foolish mistakes, but haku deserve kufanyiwa alivyofanyiwa.
 
unakipaji cha kuandika I always like ur stories kila nikiona uzi wako ata uwe mrefu vipi sichoki kusoma..... anzisha kiblog kitakulipa ....I will support u

kilaza
 
it was a mistake yes, at that age tulifanya foolish mistakes, but haku deserve kufanyiwa alivyofanyiwa.

ewaaaa we umenielewa kumbe!! hope lara 1 atapaona pia............ so mimi kama mimi ningewasamehe kwa kuzingatia hapo kwa red and not otherwise, hata mimi nalaani kitendo walichomfanyia
 
Last edited by a moderator:
Interesting story,tutaifanyia movie muda si mrefu,bonge la script.
 
Yes ningewasamahe coz binti atakuwa amejipeleka ktk mazingira hatarishi mwenyewe, we utakubalije kwenda kulalwa bweni la wavulani sijui hotel whotever ilihali ni chumba cha wavulana watupu, kama siyo kujilipua huko ni nini - that's one of the outcomes

Hahahaaaaaaaaaaa! Yet still he took advantage of her innocence and love. Mabinti kibao tulikuwa tunaingia ku solve maths basi. Kishkaji tu.
Okay yule alijipeleka sawa! Na mimi nae rudi toka shule barabarani je?
 
Interesting story,tutaifanyia movie muda si mrefu,bonge la script.

Yaani hio muvi kushirikiana na TMWA, TAWLA woote tutahakikisha HAITOKI! Mnataka kuifanya nini jamii? Watoto si ndo watapata IDEA?
 
ewaaaa we umenielewa kumbe!! hope lara 1 atapaona pia............ so mimi kama mimi ningewasamehe kwa kuzingatia hapo kwa red and not otherwise, hata mimi nalaani kitendo walichomfanyia

And they get away with, without even a slap on the hand? Free as a bird!!!!!!!! HELL NO! :boxing::boxing::boxing:
 
Hahaaaaaaa!!!! Unazidi kunitia uchungu ujue. Kumsamehe haiwezekani. Mwenzie alitapika nyongo, bado yeye sasa!

Sio haya imagine yule Wa discussion ndo binti yako ungewasamehe?

Ukimtorosha binti wa mwenzio na wewe binti yako lazima atatoroshwa tu siku moja..believe me.

Huyo una haja ya kusumbuka naye bahati nzuri sasa hivi tumekuwa mababa na tuna watoto mabinti so let the nature select who is weak n who is strong..as only strong survive.

Msikie na huyu baada ya kuwaliza sana watoto.....
 
Attachments

  • 1430416549997.jpg
    1430416549997.jpg
    42.8 KB · Views: 262
Kwakua mtungo haukukuangukia msamehe bure, tena ukute ujanja wa zamani tu sasaivi kawa bweg.e maisha yanamkung'uta.

Hahahaaaaaaaaaa! The problem with society EVERY BODY IS FORGIVING, hii inawafanya VICTIMS TUJIHISI MAKOSA NI YETU. Tunaanza kujibebesha some of the blame, labda nisingepita ile njia wasingenifanyia vile, labda nisingetoroka shule yasingenikuta yule, labda nisingejihusisha na mapenzi nisingefanyiwa vile, labda kibaoooo, Put all the blame on the victim and no responsibility on the offender!. RAAAAAAAAAABISH!!!!!!!!!! Wale ndo wakosa! Period! And they deserve NEITHER LENIENCY NOR MERCY!

Kisa mimi hawakunipiga mtungo, nikijifanya tatizosio langu kitatukuta kisa cha Kuku na kuchinjwa banda zima. Nilishakisimuliaga. Siku watampiga mtungo mtu mwingine si bado wako hai?
 
Seriez ya leo episod nyingi ila nimeona neno chips of coz chips tam sana
 
lara1 hivi yule wa kwa Anko aliyekubania kazi yu hali gani manake ulimuharibia vibaya kwa jamaa yake!
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaaaaaaa! Nacheka kama mazuri vile. Wakinila kiboga nutawawekea sumu wote shwaini. Eeeeeh Mungu epushia mbali. Mambo mengine si ya kuwaza.

What if nammudu and i chicken out kabla sijajipima nae ubavu. Hahaaaaa! Ujue walifanya yale wakijua watasamehewa. We unazani yule mdada Wa discussion kasahau? Hajasahau.

Childhood tunapitia Mambo Mengi sana, ila kwa Asilimia kubwa ndiyo yanayopelekea tunakuwa aina ya watu we are now.

Hajasahau, ila pia kajifunza bila shaka it never happened Again. Ni sawa na msichana niliemtoa bikra wakat wa balehee leo Bwana Ake atake kunipiga, nilimuharibu Mke wake alipokuwa Mwanafunzi.... I doesn't make sense.

Achana nae, Easy Your Life.

Kwanza Dushe la kukuridhisha umeshalipa? Ama you still busy hunting?
 
Yes ningewasamahe coz binti atakuwa amejipeleka ktk mazingira hatarishi mwenyewe, we utakubalije kwenda kulalwa bweni la wavulani sijui hotel whotever ilihali ni chumba cha wavulana watupu, kama siyo kujilipua huko ni nini - that's one of the outcomes

Maybe your too old for this and not a loser girl....
Usiniambie haujafanya haya mambo coz I remember those days tulikuwa tunachapa girls geto moja watu 3 kila mtu na demu wake....it was foolish age

Even saints have history my brother.
 
Kumbe ulikuwa na maziwa mazuri ehee..bado ni fresh au yashakuwa mtindi..embu tupia kapicha
 
Apigwe pombe mtu!
Fitna za haki ya juu mpk asijitambue!
Apasuliwe yai bichi kwenye suruali!
af mrudishe getini kwao !
 
Hahahaaaaaaaaaa! The problem with society EVERY BODY IS FORGIVING, hii inawafanya VICTIMS TUJIHISI MAKOSA NI YETU. Tunaanza kujibebesha some of the blame, labda nisingepita ile njia wasingenifanyia vile, labda nisingetoroka shule yasingenikuta yule, labda nisingejihusisha na mapenzi nisingefanyiwa vile, labda kibaoooo, Put all the blame on the victim and no responsibility on the offender!. RAAAAAAAAAABISH!!!!!!!!!! Wale ndo wakosa! Period! And they deserve NEITHER LENIENCY NOR MERCY!

Kisa mimi hawakunipiga mtungo, nikijifanya tatizosio langu kitatukuta kisa cha Kuku na kuchinjwa banda zima. Nilishakisimuliaga. Siku watampiga mtungo mtu mwingine si bado wako hai?

Watu wahivi wapo tu kwenye makuzi tangu enzi huko, na tatizo ni balehe tu ndo maana leo ukimfuata ataomba samahani atakwambia ni utoto. yani vijijini wanaviziana vichakani, huku mijini pia kuna maeneo yao.

Wengi katika mishe za ukuaji wanapitia hayo, kila mtu ana story yake. Sawa wewe hata ukilipiza kwa wabaya wa hilo group, lakini ujue wapo tu, yani hata saivi ukienda kuchunguza huko mashuleni utawapata, maana magroup ya mikumbo na sifasifa za kijinga wanaochanganywa na ukuaji wapo tu.
 
Thank you! Wajinga wanakuharibia maisha waleee. And the fact that they get away with it is so disgusting.

Yan natamani nije nikusaidie tumfanyie kitu mbaya.....mi nikikutana nao hata kama ni miaka 20 badae lazima niwafanyie kitu mbaya coz walinitesa sana aisee.
 
Hahahaaaaaaaaaa! The problem with society EVERY BODY IS FORGIVING, hii inawafanya VICTIMS TUJIHISI MAKOSA NI YETU. Tunaanza kujibebesha some of the blame, labda nisingepita ile njia wasingenifanyia vile, labda nisingetoroka shule yasingenikuta yule, labda nisingejihusisha na mapenzi nisingefanyiwa vile, labda kibaoooo, Put all the blame on the victim and no responsibility on the offender!. RAAAAAAAAAABISH!!!!!!!!!! Wale ndo wakosa! Period! And they deserve NEITHER LENIENCY NOR MERCY!

Kisa mimi hawakunipiga mtungo, nikijifanya tatizosio langu kitatukuta kisa cha Kuku na kuchinjwa banda zima. Nilishakisimuliaga. Siku watampiga mtungo mtu mwingine si bado wako hai?

You are very right at that age hao jamaa hawakuwa watoto wa kufanya vitendo vile. Ila ninachoshangaa ni kuwa nimesoma mitaa hiyo hiyo almost miaka hiyo hiyo, never heard of that kinda stuff. Sikubishii but, dah, i am shocked, watoto wa Mzizima na shule kama hizo tulikuwa tunawaona mabitozi, habari kama hizi kuna mtu alikwenda kuripoti shuleni kwao?
 
Back
Top Bottom