Recent content by fcharles2000

  1. F

    JamiiForums Tanzania Daktari ha ha ha!!!

    Bawasiri ni ugonjwa wa hemorrhoid
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa CHADEMA (tafadhali zingatia sana)

    Umeongea vizuri sana!
  3. F

    JamiiForums Tanzania Wabunge wakielekea bungeni mwaka 1984 (enzi za baba wa taifa)

    Mnaonaje kama utaratibu huu ukirudiwa katika kusafirisha wabunge waendapo bungeni Dodoma
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ukiwa tungi; huwezi ona kasoro yoyote hapa...

    Lazima atakuwa Canibalist huyo!
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kiwanja - Kibada Kigamboni kinauzwa

    Kwa Sq Metre 650, nadhani ni too expensive
  6. F

    JamiiForums Tanzania Wakristo musituvuruge Wz'bar agenda ni siasa kuhusu Muungano na sio dini mutakosa .

    Hiyo nimeipenda bwana mdogo. Good!
  7. F

    JamiiForums Tanzania I want dagnoss from Doctors only

    Usipende kuptoteza muda wa watu kwa kukusaidia kuendekeza uasherati
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nikikupa Millioni 20 Utazifanyia nini?

    Labda apeleke CUF badala ya CHADEMA
  9. F

    JamiiForums Tanzania MAJINA YA WATU YANAYOFANANA NA YA WANYAMA/WADUDU....ama kweli utamaduni ...

    Pia kuna majina mengine: Fuko Nguruwe Ndembo = tembo
  10. F

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa pole kwa waliouawa Arusha

    This is rubbish!!!!. Kwani huyu Membe ni waziri wa nini na suala la mauaji ya Arusha linahusu wizara gani. Kwa hiyo tuseme Membe anakaimu wizara ya mambo ya ndani au ndio IGP. Unajua mimi nimekuwa siku nyingi sana najiuliza juu ya upeo wa Membe na huyo aliyemteua kuwa waziri wa ndani. Anyway...
  11. F

    JamiiForums Tanzania GE2010 Ruvuma has a long way to go on democracy

    Aibu Tupu!
  12. F

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kwa Mh Mengi na ITV (IPP MEDIA)

    Hiyo imetulia
  13. F

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kama unaitakia mema Tanzania usimchague Mh Slaa

    wewe ebu ondoa upuuzi wako hapa. Unadhani watu ni wapumbavu kama wewe kiasi cha kuamini propaganda feki kiasi hicho. Kwani nani kakutuma hasa - Loasa, Manji, Lostamu, JK, RK au nani? Umekosea sana. Watu wana akili ya kupima sela na mawazo kuliko akili yako finyu.
  14. F

    JamiiForums Tanzania GE2010 Hebu angalia hapa, je hawa wana akili?

    Pole unahitaji kuonewa huruma tuu. Only fools can believe and take your rubbish
  15. F

    JamiiForums Tanzania GE2010 Wajue wapinzani mahiri waliokaliwa kooni majimboni

    Hongera mzee CCM kujenga hoja zizizokuwa na ukweli ili kuhakikisha watu walio na mapenzi bora na nchi hii wanakata tamaa na kugeuka ili kuipigia kura CCM. Wewe kwa hakika siyo mzalendo hata kidogo.
Back
Top Bottom