Wabunge wakielekea bungeni mwaka 1984 (enzi za baba wa taifa)

fcharles2000

Member
Aug 12, 2010
22
5
Wabunge wakielekea Bungeni Dodoma mwaka 1984.png

Mnaonaje kama utaratibu huu ukirudiwa katika kusafirisha wabunge waendapo bungeni Dodoma
 
Kuokoa fedha ya umma ili ielekezwe kwenye matumizi mengine, hali hii itakuwa bomba kabisaaaaaaaaaa
 
ina maana enzi za Nyerere bunge lilikuwa Dodoma!? Je Karimjee ilikuwa mwaka gani?
 
Duh hii imetulia sana ila kama itaanzishwa kwa kipindi hiki, kila Mbunge atahitaji akodishiwe Yutong kwa kila jimbo moja, zitakua Yutong ngapi hata sijui
 
Unataka tuokoe fedha ili baadaye zipelekwe Uswisi, wacha zitafunwe na wabunge zibakie hapa hapa.
 
Duh hii imetulia sana ila kama itaanzishwa kwa kipindi hiki, kila Mbunge atahitaji akodishiwe Yutong kwa kila jimbo moja, zitakua Yutong ngapi hata sijui

Hakuna cha Yutong hapo, waende na magari yao hd ofisi ya RC wa mkoa husika, kisha wanapandishwa kwenye Coaster na kupelekwa Dom.
Wa kigoma wanawapitia wa Tabora na Singda, wa Kagera wanawapitia wa Mwanza, na wa Mara wanasogea Mwanza, wanajaa coster1, wa Shinyanga, Geita na Simiyu wanakutana Shy town na kujaa gari moja, hivyo hivyo kwa kanda zote.
Kurudi pia hivyo hivyo.
 
Unataka tuokoe fedha ili baadaye zipelekwe Uswisi, wacha zitafunwe na wabunge zibakie hapa hapa.

kwani wabunge pekee wana haki ya kuitafuna? kwanini isiwe kwa madaktari watazipeleka wapi? acha unafiki fedha hizo zingeweza kusaidia Oncall allawance kw madaktari wetu.
 
Bila shaka umekurupuka toka usingizini hata mada iliyopo mezani sina hakika kama umeielewa, sio kosa lako nimekusamehe.
 
Hivi Escudo haziwafai kweli? aaaah nimepata wazo, wangepewa magari kutokana na mchango wao bungeni
Hakuna cha Yutong hapo, waende na magari yao hd ofisi ya RC wa mkoa husika, kisha wanapandishwa kwenye Coaster na kupelekwa Dom.
Wa kigoma wanawapitia wa Tabora na Singda, wa Kagera wanawapitia wa Mwanza, na wa Mara wanasogea Mwanza, wanajaa coster1, wa Shinyanga, Geita na Simiyu wanakutana Shy town na kujaa gari moja, hivyo hivyo kwa kanda zote.
Kurudi pia hivyo hivyo.
 
Hii ikirudi itaua biashara ya siasa ambayo inatoa ajira kwa mamia ya watu
 
Hivi Escudo haziwafai kweli? aaaah nimepata wazo, wangepewa magari kutokana na mchango wao bungeni

Mb kama Lusinde na Mwigulu wanaweza akapewa GX V8, kutokana na mchango wao bungeni?
 
tunawaona korea na uchina,japan na singapore wote hao utumia usafiri wa mabasi pindi wanapokuwa na vikao,je tanzania ni zaidi ya nchi hizo?
 
Kipindi cha Nyerere Wabunge Wakielekea Bungeni
attachment.php

4.JPG

Leo baada ya Nyerere kutoweka, hata msafara wa NAPE na Riz1 vinatisha. Mnatuulia Chama​
 
Tule unga wa yanga kwa sababu Nyerere aliupenda, au kulikuwa hakuna uga mwingine. Hata hilo basi La aina hiyo halitengenezwi tena hapa duniani je kwanini unataka kuturudisha kwenye ujima. Kwa kuwa babu zetu walitumia zana za mawe basi sisi tusitumie visu vilivyopo sasa. na hatufanyi hivyo kwa sababu babu zetu wamepotea tunaenda na mabadiliko yaliyopo.
 
Back
Top Bottom