Daktari ha ha ha!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Daktari ha ha ha!!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Globu, Aug 25, 2012.

 1. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Daktari wa moyo amefanyiwa sherehe ya kustaafu, ikatengenezwa picha kuuubwa ya moyo. Ikawekwa picha ya daktari katikati ya ule moyo. Mtu mmoja katika waliohudhuria sherehe akacheka sanaa. Kaulizwa sababu ya kicheko chake. Akajibu ''mimi ni daktari wa bawasili, na wiki ijayo nastaafu, picha yangu itabandikwa wapi''???
   
 2. driller

  driller JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  bawasili ni nini..!!?
   
 3. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Ingia JF Doctors, gonga bawasili utapata jibu.
   
 4. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,446
  Likes Received: 4,732
  Trophy Points: 280
  hata wewe kwa hii avatar yako unaonekana una matatizo ya MOYONI.........
   
 5. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Mkuu, kanda mbili zimekula kufuli!!! Ha ha ha. Uhuru wa Tanganyika na Mapinduzi ya Zanzibar. VIVA JF.
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ingekuwa vyema kama ungetuwekea maana yake hapa
   
 7. f

  fcharles2000 Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bawasiri ni ugonjwa wa hemorrhoid

  hemorrhoid.jpg
   
 8. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Thanks Mkuu, umenisaidia.
   
 9. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Mkuu Shine umeona nini bawasili?
   
 10. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35

  mkuu hiyo ni sehemu gani ya mwili..mbona sielewi elewi
   
Loading...