Elections 2010 Hebu angalia hapa, je hawa wana akili?

Ningesema kitu ila kwa vile mods wanatafuta kunifungia basi nitaweka dots ............
 
Udini hauna nafasi nchi hii, anaetaka kushinda kwa udini au ukabila, huyo mtu amefirisika kimawazo na fikra hivyo hatufai na tumwogope kama ukoma
 
Hawana akili na hii yote ni kutokana na elimu duni,,, Tanzania hakuna udini hiyo ni wao wanaeneza..

Uoga wa mafisadi wanatumia njia zote.. Hivi umeshafikiria siku Dr. Slaa anachukua nchi itakuwaaje...

CCM amechukua hela hadi hazina, makampuni ya simu na ya watu binafsi,, sasa wakianza kudaiwa watalipa na nini??

Usishangae kusikia CCM Kirumba inapigwa mnada kulipa madeni yao..

E Mungu tupatie kiongozi bora atakaye angalia maslahi ya watanzania...

HTML:
Tanzania Itajengwa na Watanzania Wazalendo
 
Nimewahi kuona waraka wa siri kama huu wa umoja wa madhehebu ya kikristo pia. Ukisoma kwa makini utagundua walioandika nyaraka hizi si viongozi wa juu wa dini. Inawezakana ikawa ni kikundi kidogo tu cha watu wanaotaka kuleta udini ndani ya nchi yetu na pengine si waumini wa dini husika lengo ikiwa ni kuleta uchochezi na kuwagawa watz kwa misingi ya dini. Tuwapuuze watu wanaoandaa nyaraka kama hizi.
 
Hata mimi niko na wewe tusipoteze muda kuajadili hayo maana hatuna uhakika waliojiandisha wana msimamo gani hayo ni mawazo potofu.
 
Hata mimi niko na wewe tusipoteze muda kuajadili hayo maana hatuna uhakika waliojiandisha wana msimamo gani hayo ni mawazo potofu.

si kila jambo linapaswa kupuuzwa, tambu kuwa kama ingekuwa ni hivyo basi hapa jf kusingekuwa na members
 
Hivi yale mabomu 21 yemeshaisha? Mbona sasa munaanza kusambaza sera za kuchochea chuki miongoni mwa wa tanzania? Huu waraka tangu wiki iliyopita upo hapa! Halafu kila siku anatokea member hapa na kutuwekea tena ili isomwe kila siku sera zimeisha?

Huyu anaetuwekea waraka huu ana uhakika gani kama umesambazwa au kuandikwa na waislamu? Maana waislamu wanauongozi wao sasa kama muna ushahidi na huu waraka basi si mutuambie ni kina nani walioandika huu waraka?

Kinyume chake itakuwa ni uchochezi na kujenga chuki miongoni mwa wa watz!!!
Tanzania tuko ktk vita dhidi ya umaskini, ujinga na maradhi tuliyorithi tangu enzi za mwalimu nyerere na hatuko tayari kuingia ktk vita nyingine ya kidini hivyo ni vizuri nyaraka kama hizi ziachwe kusambazwa!!
 
nilitaka kuchangia lakini mod atanifungia...! ((_________________:whistle:___________________)) kwenye mabano kuna maneno ambaya mod hayapendi..!
 
WAPUUZENI HAO, JAPO NI WAISLAMU WENZANGU, WANATAKA KUTULETEA MAMBO HAYA HAPA CHINI NDUGU ZANGU.
 
Waraka dhaifu kama huo hauwezi kuwa umetokana na kikundi chochote ambacho ni makini, waraka wa siri wewe umeupata wapi?
Hizo simple minded zako zitatugharimu sana kama watanzania.
Waraka huo utakuwa umetolewa na kundi linalohangaika kurudi madarakani kwa kutumia familia badala ya chama, na ni namna ya kutafuta kuonewa huruma na wapiga kura, hakuna kitu cha maana hapo.

Watanzania kama tulivyo tuko sensitive sana kwenye mambo ya dini bila hata ya utafiti wa kina mtu akiambiwa kwamba hili suala linatokana na itikadi fulani bila kujali kwamba ni uzushi au la mtu anaamua kufanya ushabiki.
Binafsi mimi si mrahisi hivyo na ubaguzi wowote unanikera katika kiwango kwamba hata msamiati wa kuelezea kero hii umenipita kushoto ila nasisitiza kwamba ubaguzi wa namna yoyote tusiukubali. Watu wana malengo ya kisiasa kuhusu hili hivyo walio huru kufikiri waliangalie hili kwa makini.
 
hiuu ni upumbavu mtupu hgalafu ndio hawa hawa wanaokosa ada za kusomesha watoto wao ndio hao hao wakezao wanaolala 2 kwenye kitanda kimoja au chini kwenye hospitali hilo hawalioni wanaendekeza udini yeyote anayeunga mkono waislamu walioandaa waraka huu basi huyo hana akili. wapuuzeni hawa watu. nisingependa niseme sana nahisi kuwatukana

siangalii kama mimi ni dini gani ila nahitaji mabadiliko na Sera za Chadema zina mabadiliko ya kweli Slaa ndiye chaguo bora CCM na J.K ni Bora chaguo
 
mkuu,
nimekuelewa kupita kiasi, tuko pamoja, daima maendele huletwa na watu wenye kujitambua kifikra zaidi
kuliko kukumbatia ujima na ujuha wa maarifa, your real true no one like Dr Slaa, he is the only one who can let changes in our tz
 
Back
Top Bottom