Recent content by Faymario

  1. F

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna duka au sehemu maalum wananunua simu zilizotumika?

    Naomba kujua kama kuna mahali wananunua simu used.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Msaada hili swali:kuhusu computer watu wa it

    Kuconvert documents,jamani swali ndo lipo hivyo.halafu we mr mzumbe me nasoma dit we unadhani kila mtu wa mzumbe
  3. F

    JamiiForums Tanzania Msaada hili swali:kuhusu computer watu wa it

    How to tell if a computer is having filters or converters for converting from other aplication or version?
  4. F

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya samsung mobile phones

    Ninajua huku kuna wajanja ambao wanaweza kunisadia maelezo ya jinsi ya kugundua kama simu ya samsung ni original au fake,tips zake.tafadhali
  5. F

    JamiiForums Tanzania Free internet&sms sim card

    Usije ukatuingiza chaka
  6. F

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo waanza kuwapunguza nguvu wanaodai mikopo

    Hawa jamaa wanafanya kamchezo kabaya devide and qncer
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kwa waliokosa mkopo

    Ninaomba msaada wa kujulishwa wale waliokutana na waziri leo wameambiwa nini?mkopo upo au hamna,kwa nini aliwaita?tafadhali kama kuna mtu anataarifa
  8. F

    JamiiForums Tanzania Suzuki escudo

    Kama unaweza kununua iliyotumika ipo kwenye hali nzuri manual milioni 11 kama utahitaji piga namba 0757358296
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kwa waliokosa mkopo

    Hamja susa tu,jamani zile mbwembwe za kuandamana,hakieleweki mpaka tupate haki yalikua maneno matupu yani watanzania bwana.huyo waziri si ndio alishushua watu mwanzo anaona raha kuwa enjoy na kutorture
  10. F

    JamiiForums Tanzania VYUO VIKUU vya Tanzania havitambuliki kimataifa!!!

    hata mzumbe kipo
  11. F

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya Digitali ya Startimes na Ting: Kero za watumiaji

    Kama kuna mhusika wa startimes unasoma hapa jua kwamba mnazidi kufukuza wateja na kuwafanya waliotaka kujiunga kufikiria upya,yan mna chanel za ajabu halafu mbaya bado mna taka kuongeza price/kupunguza chanel,yaani nyie OVYO,boresheni huduma ndio muwaige dstv,wale wapo next level
  12. F

    JamiiForums Tanzania Soko la waliosoma sheria (LLB)

    duuuh,asanteni kwa ushauri
  13. F

    JamiiForums Tanzania Soko la waliosoma sheria (LLB)

    jamani naomba kuuliza nataka nikasome sheria najua soko lake gumu lakini vitu gani vya ziada ambavyo vinaweza kunisaidia kupata ajira haraka(kufikiriwa pale nitakapoomba kazi),mfano nilisikia watu wanao soma international relations ni vizuri kujua ligha za kigeni kama french,arab.madiodo gani...
  14. F

    JamiiForums Tanzania 20 septemba

    Jamani nilisikia kwamba leo bodi ya mikopo ingetoa tamko la mwisho au majina mengine ya waliopata mkopo,kuna anaejua nini kinaendelea,naomba anijulishe
Back
Top Bottom