Msaada hili swali:kuhusu computer watu wa it

Faymario

Member
Aug 11, 2011
23
1
How to tell if a computer is having filters or converters for converting from other aplication or version?
 
Mkuu mbona hujajieleza vizuri - unaposema filter una maana gani? yaani application program yako hiwe inakubali utilities fulani na inakataa nyingine! - Unaposema converter una maana gani? unazungumzia compile/interpreter au kubadirisha kwa mfano pdf kwenda kwenye file format nyingine na mwisho unaposema version una maana gani? application moja inaweza kuwa na verson nyingi tu. Nakuomba ujaribu ku-rephrase swali lako hili wana JF wakupe ushauri mzuri.
 
Kijana wa mzumbe...!!umiza kichwa wewe,jamani musimpe majibu huyo.HIO ni assignement ya Mr.Njovu wa ict119
 
Mkuu mbona hujajieleza vizuri - unaposema filter una maana gani? yaani application program yako hiwe inakubali utilities fulani na inakataa nyingine! - Unaposema converter una maana gani? unazungumzia compile/interpreter au kubadirisha kwa mfano pdf kwenda kwenye file format nyingine na mwisho unaposema version una maana gani? application moja inaweza kuwa na verson nyingi tu. Nakuomba ujaribu ku-rephrase swali lako hili wana JF wakupe ushauri mzuri.

kuconvert MS-WORD to other applct as pdf.
 
In short OS kama windows aiji na filter au convetor nyingi.but google for any of the two utazipata.au je wewe unatafuta convetor zipi? Audio,video,word to pdf,pdf to excel fafanua zaidi tukusaidie
 
Kuconvert documents,jamani swali ndo lipo hivyo.halafu we mr mzumbe me nasoma dit we unadhani kila mtu wa mzumbe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom