GABOO
Senior Member
- Apr 11, 2011
- 118
- 12
Hii decoder nilivyo inunua haikuwa ikionesha rangi,yaani ilikuwa picha black and white,baada ya wiki ikaonyesha rangi,sasa haionyeshi tena rangi,nimeongea na startimes wameniambia ni eria,nimejeribu mpaka nimechoka,naombeni mnisaidie kama kuna settings naweza fanya rangi ikaonekana.thanks