Recent content by Faviola

  1. Faviola

    JamiiForums Tanzania Wanawake mabikra tukutane hapa

    Hongera sana kama ni kweli lakini sijakuelewa nia yako ni nini hasa kuleta hiyo mada huku
  2. Faviola

    JamiiForums Tanzania Timuatimua ya Rais Inaondoa Ufanisi.

    Ni kweli watu wanafanyakazi kwa uoga sana ili asikosee hapo ndio kutokujiamini kunaokuja kila kitu mpk mkuu aseme kiende namna gani
  3. Faviola

    JamiiForums Tanzania Moyo wangu haujawahi kukupenda

    Asikubali hata kidogo huyo mwanaume hana upendo wa kweli akimkubalia akipata mwingine atamwaga tena
  4. Faviola

    JamiiForums Tanzania Wasaa mzuri kwa wadada mliobahatika kuolewa tu

    Well said
  5. Faviola

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuunde chama letu na njoo tuyajue maudhi ya wanawake hapa

    Kumbuka huyo mwanamke asiye na faida kakunawisha maji na kukubadilisha nepi mpaka umefika hapo ulipo mfyuuuuuuuu
  6. Faviola

    JamiiForums Tanzania Kina dada hivi ni deko au ni kweli huwa mnaumwa?

    Si kila mwanamke ana hilo tatizo but wapo pia wenye matatizo wakati wa hicho kipindi mpk na wengine wanalazwa kabisa so inawezekana na yeye ni mmojawapo
  7. Faviola

    JamiiForums Tanzania Kina dada hivi ni deko au ni kweli huwa mnaumwa?

    Mimba sio suluhisho
  8. Faviola

    JamiiForums Tanzania Muonekano mpya wa Askari Monument Garden Jijini Dar

    Bora maana ilikuwa ni aibu tena ni katikati ya jiji
  9. Faviola

    JamiiForums Tanzania Wadada: Acheni kubania namba mtakosa waume wa kuwaoa

    Unaweza kitoa number kwa jambazi
  10. Faviola

    JamiiForums Tanzania Nawauliza wanawake wa JF?

    Wanawake wako juu sana kifikra na kimawazo kuliko wanaume kama huamini uliza wanaume waliooa
  11. Faviola

    JamiiForums Tanzania Nawauliza wanawake wa JF?

    Hayo ni mawazo yako na fikra zako binafsi ambazo ulishazijenga tangu awali kwa kuzurura kwako na si kufanya serious research
  12. Faviola

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu hataki nione nyeti zake

    Na kikubwa unachotaka kuona wewe ni nini usichokijua au hukusoma biology
  13. Faviola

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu hataki nione nyeti zake

    Wengine huwa ni aibu tu walizonazo na wala hana tatizo lolote hapo wewe ni kumuuliza tu kama mpenzi wako
  14. Faviola

    JamiiForums Tanzania Vijana kunyanyua mavyuma ili uwavutie wanawake ni ushamba, Tafuteni hela!

    Mwisho wa siku ni kuumwa migongo
Back
Top Bottom