Moyo wangu haujawahi kukupenda

Moyo wangu haujawahi kukupenda

Chagua chagua ilikuwa kwa sana maana jamaa alikuwa na combination zote mzuri, shule, status kwahiyo alikuwa anatafuta wa kulingana nae
so kipindi chote anapakuliwa na wakwavi tofauti tofauti,,,,, atakuwa amekongoroka kweli kweli.....jamaa na yeye bwege mtozeni.....wote hawana jinsi......mwambie aanzishe vikao vya kumsent off....
 
Maisha mafupi na matamu....
Asikubali kuwa Back up plan wala Second best...
Miaka 15 ni mingi mtu kubadilika kitabia na mtazamo, alichompendea kipindi kile kinaweza kisiwepo sasa.
 
so kipindi chote anapakuliwa na wakwavi tofauti tofauti,,,,, atakuwa amekongoroka kweli kweli.....jamaa na yeye bwege mtozeni.....wote hawana jinsi......mwambie aanzishe vikao vya kumsent off....
Jamaa ninaona anaemua kurudi kwa zimwi alijualo
 
Wanaume wanashindwa kuelewa kuwa na sisi ni binadamu
Wanaelewa ila wanajitoa fahamu,sasa mtu kama huyo mie namkumbusha kua bwana wewe ulisema 12345,sasa ebu fikiria tena hapo kanikuta na mood nzuri akiwakuta wenyewe wamo ndio namwambia mie wala ulikua huniridhishi nilikua nastahmili tuu sasa kurudia matapishi sorry lakini siwezi..lol
 
Yani huyo shosti yako ni jipu anapata mpaka nguvu ya kuomba ushauri tena after 15 years je kama mambo yake na huyo mkewe yangemuendea angemkumbuka huyo shosti wako mi yaliwahi nikuta kama hayo ila after one year huyo kaka alirudi ila nilimtoa baru hatonisahau but mwisho wa siku mioyo tunatofautiana so anaweza fanya litalompa amani
 
Alipooa alidhani ameokota jewelry kumbe ilikuwa kokoto
 
Ni kweli tena walikuwa watoto wa family friends na yeye alijua ndiye Mrs
Waendelee kuwa marafiki wa kawaida kwa mda huku wakisomana kabla ya kuanzisha mahusiano kamili....
He got some explaining do to....
Why her now and not Then?
 
Waendelee kuwa marafiki wa kawaida kwa mda huku wakisomana kabla ya kuanzisha mahusiano kamili....
He got some explaining do to....
Why her now and not Then?
Indeed
 
Asikubali hata kidogo huyo mwanaume hana upendo wa kweli akimkubalia akipata mwingine atamwaga tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom