Muonekano mpya wa Askari Monument Garden Jijini Dar

Muonekano mpya wa Askari Monument Garden Jijini Dar

Nyie wa mikoani msidhani huo ukoka hiyo ni rangi yake, ni editing hizo, usije ukachoma nauli ili uje kushangaa
 
Sawa na barabara ijengwe ili kuleta mandhari nzuri, na sio kutengeneza bustani na kusafisha hilo sanamu la BISMIN.
 
Panapendezaa kwakwel, hope wataweza kupa maintain ili uzuri huo udumu
 
Hii ndio tofauti ya Jiji kuongozwa na Chadema .
 
Hapo nina hakika ukifanya auditing ya bajet iliopangwa kwa ajiri ya kazi hii,lazima ukute kuna watu wametoka na majumba makubwa ...

Hata hivyo Hongereni kwa kupendezesha mazingira...

Pia tungefahamu lilikua wazo la nani ili tumpe credit zake.
 
Back
Top Bottom