Recent content by fathermjengo

  1. F

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz na Kikwete watoke watoe maelezo ya kueleweka juu ya kifo Cha Magufuli!

    Na huenda zile risasi alizopigwa Lisu ilikua hujuma kwa Magufuli, wanasiasa ni watu hatari sana!!
  2. F

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS: Tumezungumza mengi na Rais Samia

    Aje alete ushahidi usio achaa shaka wa shutuma zake!!
  3. F

    JamiiForums Tanzania JOKATE: 💚 Shukrani za Dhati 💚

    Ulikuwepo!!??
  4. F

    JamiiForums Tanzania Majaji wa Tanzania hawajui kiingereza - Tundu Lissu

    Usitukane Mamba kabla ya hujavuka Mto!!
  5. F

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Nyumba yetu inakaribia kuuzwa

    Wwe nae unaleta masihara kwenye vitu vya kisheria, mirathi iko kisheria na si kimaombi ya huko kanisani!!
  6. F

    JamiiForums Tanzania Tafakuri yangu: Kifo cha Job Ndugai ( Spika Mstaafu)

    Wahindi wanatupiga sana kwenye matibabu, achana kwanza na India, nenda hapo Agakhan ulazwe kwa week tu,angalia bill yake sasa!!
  7. F

    JamiiForums Tanzania Hekalu la Job Ndugai kweli siasa inalipa, nimejiona masikini kweli

    Kama alivyo nangwa Mzee Nnauye kwa kufa bila kujenga wakati alikua ni mtu wa karibu sana na Mwalimu!! Waja wazito!!
  8. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina ajiunga na ACT Wazalendo akitokea CCM

    Kuna umuhimu wa kupitisha sheria ya .mgombea huru na siyo lazima awe na chama!!
  9. F

    JamiiForums Tanzania Hili la Salim Kikeke kuhusu masoko ya Nguruwe mnalionaje ndugu zetu waislamu?

    Kikeke ni wale Morden Muslim!,swala la nguruwe halimuumizi sana mradi hali yeye,kwa nini sasa awazuiwiye walaji wa hiyo kitu!!??
  10. F

    JamiiForums Tanzania Nikifahamu unavaa hivi bora urafiki ufe

    Labda aliamua kuingiza sanaa kwenye harusi yake ili ipate kitu cha kuzungumziwa kama ukumbusho!!?
  11. F

    JamiiForums Tanzania Nikifahamu unavaa hivi bora urafiki ufe

    Kumbe ni Dodoma, mi nilizani Dar!!
  12. F

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumtafuta mzazi aliyekutelekeza? Na je ni lazima kumtafuta?

    Wwe shukuru Mungu hayajakukuta yakikuta utakuja hapa na story tofauti kabisa na hii!!
  13. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pamoja na Tume ya Uchaguzi kutoa ratiba. Lakini dalili ziko wazi Uchaguzi Mkuu hautakuwepo

    Hata kama uchaguzi usipokuwepo,Rais bado atabaki kua Samia pamoja na baraza lake la mawazir,na hata uchaguzi ukifanyika,bado Rais atabaki kua Samia!!
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mwana FA amkana Baba yake mzazi

    Kwa sababu wababa wengi tunapigwa na kina mama!!
Back
Top Bottom